Haya sasa Yanga, Mo Bejaiya mali yetu!

...too late erooz!, hata muarabu akitoka na yeboyebo nae keshatoka!

ni kusubiri nxt yr....!!
 
Dah, Yanga bana, kila timu inapita tu.
 
Kampa Kampa tena
Nyie Yanga na yule mdada wa tiGO hamna tofauti yoyote ile
 
Wanakuja kuchukua point 3 nyingine hapa nyumbani. Kwakweli hii timu ya bonde la kambale inatutia aibu kama nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…