Haya sasa....

Haya sasa....

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hii print screen hapa chini ni moja ya profiles za mdada anayetafuta mtu wa kucheat naye. Kuna watu wanasemaga eti wanawake hawachitigi bila sababu - sijui hata maana yake ni nini. Hapo chini pasemapo "Preferences and encounters I am open to" soma jinsi mdada anavyojielezea. Kaolewa, anatafuta infii, ila hana mpango wa kumwacha mumewe!

Chonde chonde mlio kwenye ndoa. No one is safe from infidelity. No one.
 
kabla ya kuignore...ni mbongo au sio mbongo????
 
Madudu gani umetuwekea leo ? haya ni matatizo ya kukesha Calabash nenda kalale mkuu ULEVI NOOMA!
 
Anatafuta mtu wa kuchiti au wa kuchati nae? Mimi najua wamama walio kwenye ndoa wanachati tu hawachiti.
 
NN Kuacha ku nanili au kunaniliwa ni chaguo la mtu au matatizo fulani na si ndoa....
 
Back
Top Bottom