Andika basi kwa kiswahili sikusoma mieExtra virgin olive oil penetrates deep into the skin on yourface, providing needed moisture as well as a shield to protect your skin, keeping it smooth, according to the Olive OilSource website. Olive oil's antioxidants--vitamins A and E--can help repair skin damage from sun exposure, cigarette smoke and pollutants.
Benefits of Using Extra Virgin Olive Oil on the Face
Wacha utani bibie.Andika basi kwa kiswahili sikusoma mie
Wanasema mafuta mazuri hayo yana virutubisho kama antioxidants vitamin A na E. Ni mazuri hata kupaka usoni.
Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli
Hayana harufu,halaf mi napenda vitu vya kunukia hivi ,,hebu nishaurini jamani haya mafuta View attachment 648624 hiyo picha mwenye kuyaelewa aniambie au mi niyapikie tu[emoji23][emoji23]
Haya nimemaliza kujipaka ngoja nione kama wiki hivi
Haya ni mafuta ya kupikia, yana virutubisho vingi vizuri na natural, kwa sababu hiyo, yanafaa kutumika hata usoni kutunza afya ya ngozi, kwa mujibu wa hiyo link.Lakini ni ya kupikia pia
Marhabaa, sasa mafuta ya Uarabuni umeyatoa wapi?Asante
Haya.Yanauzwa supermakert
Dada,Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli
Hayana harufu,halaf mi napenda vitu vya kunukia hivi ,,hebu nishaurini jamani haya mafuta View attachment 648624 hiyo picha mwenye kuyaelewa aniambie au mi niyapikie tu[emoji23][emoji23]
Yanauzwa supermakert
Hahaha, mara kesi.Nani kakununulia?