Haya tena makubwa Msaada!

Haya tena makubwa Msaada!

condorezaraisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
225
Reaction score
116
Naomba ushauri wenu
Maswali yote yatajibiwa..?
Miaka 10 iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano ya mapenzi na kaka X nikiwa school
Baada ya shule tukapoteana yeye alienda nje na sisi kama family tukahama mkoa na kwenda sehemu nyingine na mawasiliano yakakatika..
Nina wadogo zangu pia wa kike shuleni mie pekee nilitumia jina la Babu yaani Condoreza ..M
Wadogo zangu wote wakatumia jina la baba yana N..E Na sasa nimeolewa na nina familia yangu naishi kwa Amani na upendo
Mdogo wangu kapata mpenzi kama kawaida mapenzi ya kileo nahisi anaka ujauzito…
Sasa wamefikia hatua ya kutaka kuoana mdogo wangu na mchumba wamefunga safari kumleta mchumba
kwanza kututambulisha sisi masisters na baadhi ya ndugu ili hatua zingine ziendelee
Na mahusiano yao sio ya muda mrefu sana..
Jumamos naitwa kutambulishwa Shemeji nakuta ni X wangu ..roho imekaribia kupasuka kwa mshituko
Moyo umekufa ganzi naona na yeye kabakia na mshangao..
Tufanyeje juu ya hili?
Sijasema lolote mpaka sasa..
:A S cry:
 
Huyo X wako mlisha fanya naye sex ?

Kama hujafanya naye sex sidhani kama shida.

Ndo mana vitabu vya dini vilikataza kufanya sex kabla ya ndoa, hayo ndo madhara yake, pole sana.
 
Huyo X wako mlisha fanya naye sex ?

Kama hujafanya naye sex sidhani kama shida.

Ndo mana vitabu vya dini vilikataza kufanya sex kabla ya ndo, hayo ndoa madhara yake, pole sana.

Nilifanya fazaa ingawa sasa sina any feelings najua it was past..
 
Sina feelings zozote ila nishado na X na nilikuwa na uhusiano wa kishule shule kama 2 years
Nawaza hapa can i keep secret ? upande mwingine naona kama ni dhambi


imekula kwako hyo..kifupi ni aibu yako..
You must keep that to urself kama siri..usje haribu kwa dogo..
Bado una feelings nae?
 
kwanini roho ikupasuke?? kama hamkuwahi kuvunja ile amri basi wacha waendelee ila kama mlishaivunja itabidi uvunje ukimya
 
Sina feelings zozote ila nishado na X na nilikuwa na uhusiano wa kishule shule kama 2 years
Nawaza hapa can i keep secret ? upande mwingine naona kama ni dhambi

Kama unishi kwa amani na ndoa yako ya sasa na huyo mdogo wako ana uja uzito wa X wako, kaa na huyo X wako mueleze namna mtakavyo handle hii ishu isitoshe kati yenu hakuna mwenye makosa hata mdogo wako pia hana makosa, hivyo ni wewe na X kutunza siri waache waoane tu, ila itategemeana na ubavu wa vifua vyenu katika kutunza siri
 
Sina feelings zozote ila nishado na X na nilikuwa na uhusiano wa kishule shule kama 2 years
Nawaza hapa can i keep secret ? upande mwingine naona kama ni dhambi
Safi sana condorezaraisi, hapohuna tatizo kubwa. kama ungekuwa bado unam-feel, kungekuwa na tatizo. Acha dogo afunge naye ndoa. na kuhusu kutunza siri, fanya moja kati ya mambo mawili. Kama unadhani unataka kutubza siri na uwezo wako wa kufanya hivyoni mdogo, tafuta mshauri nasaha atakayekusaidia kujijenga kisaikolojia ili uweze kutunza siri na kama unaamini hautaweza, ni vema umweleze mdogo wako mapema kabla mambo hayajaenda mbali. Ukiacha akaja kugundua mwenyewe huko mbele ya safari, linaweza kuwa tatizo kwa sababu unatakiwa na wewe ujue yeye msimamo wake ni upi iwapo atabaini kuwa honey wake wa hivi sasa aliwahikuwa hoiney wako hapo 'kale'
 
Last edited by a moderator:
Kama imeshafikia hatua kuwa ana ujauzito hauwezi ukareverse hiyo kitu. Pata muda wa kuongea na huyo X wako na kujua mawazo yake baada ya kushauriana inabidi mumface mdogo wako na kumueleza ukweli. Ukweli utawaweka huru though its awkward lakini mtazoea
 
Sina feelings zozote ila nishado na X na nilikuwa na uhusiano wa kishule shule kama 2 years
Nawaza hapa can i keep secret ? upande mwingine naona kama ni dhambi

Kama unishi kwa amani na ndoa yako ya sasa na huyo mdogo wako ana uja uzito wa X wako, kaa na huyo X wako mueleze namna mtakavyo handle hii ishu isitoshe kati yenu hakuna mwenye makosa hata mdogo wako pia hana makosa, hivyo ni wewe na X kutunza siri waache waoane tu, ila itategemeana na ubavu wa vifua vyenu katika kutunza siri. Binafsi nilikuwa na uhusiano na dada mmoja tukiwa secondary "A level" alafu tukapotezana mwaka juzi ameolewa na brother angu na wana mtoto wanaishi kwa amani hii imebakia kuwa siri kati yangu nayeye maana tulishawahi ku-do several times
 
Back
Top Bottom