BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Naomba ushauri wenu
Maswali yote yatajibiwa..?
Miaka 10 iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano ya mapenzi na kaka X nikiwa school
Baada ya shule tukapoteana yeye alienda nje na sisi kama family tukahama mkoa na kwenda sehemu nyingine na mawasiliano yakakatika..
Nina wadogo zangu pia wa kike shuleni mie pekee nilitumia jina la Babu yaani Condoreza ..M
Wadogo zangu wote wakatumia jina la baba yana N..E Na sasa nimeolewa na nina familia yangu naishi kwa Amani na upendo
Mdogo wangu kapata mpenzi kama kawaida mapenzi ya kileo nahisi anaka ujauzito
Sasa wamefikia hatua ya kutaka kuoana mdogo wangu na mchumba wamefunga safari kumleta mchumba
kwanza kututambulisha sisi masisters na baadhi ya ndugu ili hatua zingine ziendelee
Na mahusiano yao sio ya muda mrefu sana..
Jumamos naitwa kutambulishwa Shemeji nakuta ni X wangu ..roho imekaribia kupasuka kwa mshituko
Moyo umekufa ganzi naona na yeye kabakia na mshangao..
Tufanyeje juu ya hili?
Sijasema lolote mpaka sasa..
:A S cry:

yawezekana katika hali ya kukutafuka hakukupata akampat mtu anaye fanafa na wewe na ni mdogo wako sasa shukuru mungu kwani ahadi ya kuoa kwenu imetimia na furahia kuwa mdogo wako kapata mtu unae mjua. Ndoa yao itakuwa nzuri kabisa hii hali iko mahali pengi sana wali isikuumize tena nawe utapata chombo safi katika maisha yako.
rahaa utamuuKama unishi kwa amani na ndoa yako ya sasa na huyo mdogo wako ana uja uzito wa X wako, kaa na huyo X wako mueleze namna mtakavyo handle hii ishu isitoshe kati yenu hakuna mwenye makosa hata mdogo wako pia hana makosa, hivyo ni wewe na X kutunza siri waache waoane tu, ila itategemeana na ubavu wa vifua vyenu katika kutunza siri. Binafsi nilikuwa na uhusiano na dada mmoja tukiwa secondary "A level" alafu tukapotezana mwaka juzi ameolewa na brother angu na wana mtoto wanaishi kwa amani hii imebakia kuwa siri kati yangu nayeye maana tulishawahi ku-do several times
Some secrets are better kept as secrets.
Kitu kama hii ilishatokea kwa kaka zangu wawili na wifi mmoja. Kwa vile harm imeshatokea pregnancy na uchumba; bora ukae na siri yako na bahati nzuri wewe ni mkubwa, kwa mila nyingi za kitanzania shemeji mkubwa (wa kike) ni kama mkwe so hakuna utani mwingi.
kwa hiyo nikae na hii siri rohoni ?
Kaunga hapa ndipo ninapokupendea, huwa unatoa ushauri wa msingi sana! Na hasa hapo penye sentensi ya mwisho ni muhimu sana kuzingatia. Mara nyingi utani kwa watu waliokuwa wapenzi zamani au wanatamaniana huwasababishia kuangukia kwenye uzinzi. Ni vyema kukubali matokeo na kuondoa utani na huyo shemeji/X bf wake!
Kaunga asante sana kwa ushauri wako naona Condoreza atajua lipi jema na baya sasa
Nawashukuru sana kwa ushauri ambao mpaka sasa mnaendelea kunipa
Sina feelings zozote ila nishado na X na nilikuwa na uhusiano wa kishule shule kama 2 years
Nawaza hapa can i keep secret ? upande mwingine naona kama ni dhambi