Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Vipi jamani nimependeza mimi na mke wangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umegunduaje kama hiyo picha sio ya kwangu?Napata impression kuwa picha hii imewekwa ili iwe kichekesho kutokana na namna ambavyo macho ya binadamu na ubongo ulivyokuwa conditioned kutafsiri sura nzuri na mbaya. Concern yangu ni kuwa kuna haki gani kubeza sura ya mtu katika muktadha huu hasa ikiwa (na ndivyo ilivyo) mwekaji wa picha hii si aliye katika picha?
Hizi picha hapa JF zinajirudia kweli inabidi Mods waanzishe folder ambako mtu anaweza akachek kabla hajafanya 'plagiarism' hapa
Umeona eeh!hao jamaa sura zao zinavotumika mtandaoni wangekuwa na copyright saa hizi wangekua juu
hao jamaa sura zao zinavotumika mtandaoni wangekuwa na copyright saa hizi wangekua juu
Kumbe na wewe umehisi maana wamefanana haoare they twins?