Haya tena Wana J.F Picha yangu ya harusi hiyo mnasemaje?

Kumbe na wewe umehisi maana wamefanana hao

Watu wa sudani kusini wanafanana sana kama vile wote ni ndugu. Ingawa hii ni photoshop ila wote watakuwa kutoka huko south sudan.
 
picha hii tumeichoka inazunguka humu kila baada ya miezi kama vile mpya, leta kitu kipya siyo kurudia rudia pia muwe mnaangalia JF ilikujua nini kimewekwa na nini hakijawekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…