Haya wadada fasheni nyingine hiyo ya tight jeans

hii very soon! tutaiona mitaa ya posta/bongo
 
kwani wadada tu ndo tunaiga fasheni...............

hata nyie humo humo tu........fulu kuiga!!!!
 
Lakini ninzuri hakuna kubagain kitu usichokiona kwa sasa unona kama inalipa mnaondoka!!
 
Ikitokea umevaa kivazi cha namna hiyo, ni dalili tosha kuwa unahitaji kuombewa rehema za Bwana :A S-eek:
 
ina shida gani kwani? mbona naona imefunika bidhaa zote mihimu!?
 
mh hicho kivazi ni noma!!!! rate ya bubakaji nitakuwa ni balaaaaaaaaaaaa, japo personally nahisi ingekuwa ni hatari zaidi if hicho ki underpant kingekuwa cheupe
si mnajua tena white ilivyo sexually appealing?
 
hivi ile ni underpant au ni hiyo fashion ya kajinsi!!?
 
ageuke nyuma tuangalie zaidi sijui wenye makalio na mitumbo watafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…