Haya wale Bana Wenge BCBG Wenzangu hapa JamiiForums mmeshasikiliza Wimbo mpya unaotamba sasa Congo DR wa JB Mpiana uitwao ZEBUKA?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au Ufaransa au Ubelgiji au Marekani ( hasa Mji wenye Wakongo wengi wa Dallas ) au Rwanda na Burundi habari ya Mjini ni huu Wimbo mpya na wenye Style mpya ya Kucheza wa ZEBUKA.

Humo Atalaku au Mghani au Kizungu mnawaita Rappers na kwa Kifaransa wanaitwa Animateurs Mwamba kabisa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( majina halisi Pitshou Lisimo ) kafanya Balaa Kubwa kama kawaida yake na ndiyo maana sasa anaheshimika kama Champion Le Animateur du Congo DR ( yaani Rapa Bingwa Congo DR ) kutokana na kujua Kutunga maneno na Kucheza kwa Ustadi'

Pia Atalaku ( Mghani ) huyu GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE katika huu Wimbo Gumzo sasa uitwao ZEBUKA ambao upatikana katika Album ya BALLE DE MATCH kasaidiwa vyema sana na Wasaidizi wake Wawili akina Pajo na Fusse De Guere ( Kombora la Vita ) huku Gitaa la Solo likikung'utwa vyema kabisa na Veteran Guitarist Ficarre Mwamba a.k.a wanamuitwa Mitre ( wakimaanisha Mwalimu ) wa Wapiga Magitaa Congo DR.

Hata hivyo kwa Masikitiko makubwa baada ya Kuutoa Wimbo huu wa ZEBUKA Bendi ya Wenge BCBG imepata Pigo Kubwa sana la Kuondokewa na Dancer wake maaufu sana wa Kiume ambaye amekuwa Kivutio Kikubwa kila waendako aitwae Mulala Djo Muloxy ambaye alifariki ghafla. R.I.P Kwake Dancer Mulala Djo hakika umeacha Pengo Kubwa Bendini na ndiyo maana hata JB Mpiana kakulilia sana Msibani.

Kwa wale Bana Wenge BCBG Wenzangu JF tafadhali nendeni YouTube ili mkauone huu Wimbo mtamu wa ZEBUKA.
 
Genta leta kionjo
 
GENTA DEMU WAKO WA UGANDA ANAKUACHA MPAKA SASA UPO JF? Una demu kweli wewe au domo zege?
 
Tunao huu wimbo yapata mwaka sasa, hii nyimbo pale pariii(paris, france ni moto)
Wanasema tuwachie makazi na wengine.
Wenge brothers, nyimbo champagne inashuka, L'artiste préféré des hommes d'affaires (Businessman). tout Businessman qui se reconnaît dans ce chef-d'œuvre de JB mettez un pouce c'est la frappe Big'up.

Huyu JB ni simba, usimuamshe siimba aliyelala. Akiwasha Moto watoto wadogo wote kimya.
 
Bila kideo ni umbea mbea
 
Genta wimbo huo upo kwenye album ya Balle de match iliyotoka 24 December 2022!
 
bcbg ya siku hizi siyo ile original ya miaka ya 90
 
Ila ukweli hii album si kali kivile, ina baadhi ya nyimbo za kawaida sana......kwa kifupi hakuna jipya. Na hivi karibuni JB Mpiana kashutumiwa na msichana wake (dancer) aliyembaka akiwa na miaka 9 miaka ya nyuma. Huko Congo DRC na sehemu zingine duniani zitaomba serikali ya Congo kumkamata JB na kumfunga.
 
Genta leta kionjo
Ayayaaaa......bine.........Sebuka......eeeeeeeee Ayayaaaa.....bine............Sebuke.........eeeeeeeeh ebwana umeshanipa Mzuka tena ngoja niupige hapa nilipo Niserebuke nao. Shikamoo Papa Cherie JB Mpiana kwa huu Wimbo mtamu na unaochezeka wa Zebuka.
 
Tunao huu wimbo yapata mwaka sasa, hii nyimbo pale pariii(paris, france ni moto)
Wanasema tuwachie makazi na wengine.
Wenge brothers, nyimbo champagne inashuka, L'artiste préféré des hommes d'affaires (Businessman). tout Businessman qui se reconnaît dans ce chef-d'œuvre de JB mettez un pouce c'est la frappe Big'up.

Huyu JB ni simba, usimuamshe siimba aliyelala. Akiwasha Moto watoto wadogo wote kimya.
Miswahili na Minafiki utaijua tu. Sasa kama ulijua / mliujua huu Wimbo upo Kitambo kwanini hukuuleta hapa JF kwa Sisi Bana Wenge BCBG na umesubiria hadi Mimi Kuupromoti hapa kwa Wadau ndiyo unajifanya kuwa ulikuwa unaujua Kitambo? Haya Kwangu Mimi hata kama huu Wimbo ulitoka mwaka 1961 Kipindi cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Kwangu Mimi nauona ni Mpya na tena hapa sasa ndiyo naupiga na Naucheza kweli kweli huku nikiwa nakuandikia hii Post.
 
Popoma huu wimbo una zaidi ya mwaka toka uachiwe. Uko nyuma ya muda ndugu Popoma.

Mishabiki Mipumbavu ya Koffi Olomide utaijua tu kwani haijawahi kuacha Kumchukia Le Charismatique JB Mpiana.
Miji tu mipumbavu yenye akili za kiahira utayajua kwa lugha za majibu yao hata kWa jambo dogo tu.
 
Back
Top Bottom