GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
" Congo DR iache kila mara Kulaumu Kuvamiwa na Rwanda, tumechoka na kabla ya Kuwashutumu Majirani zao Wajiimarishe hasa Kiusalama na Kuimarisha kama Taifa kwa Umoja na Kuwaunganisha Wakongo wote* amesema Rais wa Ufaransa Manuel Macron alipokuwa Ziarani nchini Congo DR.
Chanzo Taarifa: Amka na BBC leo
Kuna Taifa fulani lenye Wapuuzi wengi ( nimelisahau nikilikumbuka nitalitaja ) limekuwa likiichukia mno Rwanda, Rais Kagame na Wanyarwanda hasa wa Kabila la Watutsi ( Tutsi ) limekuwa likiishutumu sana Rwanda na Sakata la Machafuko na Uvamizi wa Waasi wa M23 huko Congo DR.
Haya nami GENTAMYCINE nawauliza nyie Viherehere na Visokolokwinyo kama Rais wa Taifa Kubwa, Tajiri, Jabali na lenye Teknolojia Kubwa huku likuwa na Idara Imara ya Ujasusi Manuel Macron amesema Rwanda haihusiki na Machafuko ya Congo DR na Waasi wa M23 nyie Masikini na mnaoshindiliwa Mikodi ya hovyo kila Siku na mnapelekwapelekwa tu kama Mbuzi wa Comoro mnapata wapi Uhalali wa Kuishutumu Rwanda Taifa ambalo lina Raia wenye Akili Kuwazidi na lenye Rais Mahiri, Mwerevu na Mchapakazi kuliko Wenu?
Iwe mwanzo na mwisho Kuishutumu Rwanda Taifa ambalo GENTAMYCINE ( Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ) natokea na naishi hapa Mkoani Gisenyi kwa miaka mingi tu.