wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
naomba kuwauliza wanayanga mchezo wenu na platnam mtauonesha live kwenye tv au mnaficha upuuzi wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba kuwauliza wanayanga mchezo wenu na platnam mtauonesha live kwenye tv au mnaficha upuuzi wenu.
Nyinyi mkakati uliobaki kwenu ule wa kubaki kwenye ligi baada ya ule wa kwanza wa kuifunga Yanga kwenu kombe si lazima wala nafasi ya 2 kuwakilisha inchi Yanga inamalengo ya soka kiujumla wake kila mechi kwetu ni muhimu kupoteza ni sehemu ya mchezonaomba kuwauliza wanayanga mchezo wenu na platnam mtauonesha live kwenye tv au mnaficha upuuzi wenu.