Haya wanayanga mechi yenu kesho mtaionesha

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
naomba kuwauliza wanayanga mchezo wenu na platnam mtauonesha live kwenye tv au mnaficha upuuzi wenu.
 
Hope wataonesha mbona ile ya kwanza walionesha
 
naomba kuwauliza wanayanga mchezo wenu na platnam mtauonesha live kwenye tv au mnaficha upuuzi wenu.
Nyinyi mkakati uliobaki kwenu ule wa kubaki kwenye ligi baada ya ule wa kwanza wa kuifunga Yanga kwenu kombe si lazima wala nafasi ya 2 kuwakilisha inchi Yanga inamalengo ya soka kiujumla wake kila mechi kwetu ni muhimu kupoteza ni sehemu ya mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…