EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Jumapili ndio narudi zangu Dar nliwamisi sana washakaji wangu wa Dar, tukutane mnadani Kibamba Chama.
Kwa sasa bado nipo Dodoma hapa Rainbow soon ntakua Bambalaga tupe location
Upo wapi saivi
Unafanya nini
Tutamanishe vibe la hapo bila kusaha kapicha
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kwa sasa bado nipo Dodoma hapa Rainbow soon ntakua Bambalaga tupe location
Upo wapi saivi
Unafanya nini
Tutamanishe vibe la hapo bila kusaha kapicha
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]