Elections 2010 Haya ya Dk Slaa kuchukua mikoba ni kweli?

Elections 2010 Haya ya Dk Slaa kuchukua mikoba ni kweli?

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,374
Reaction score
6,857
Kutokana na Source yenyewe kutoiamini/Not reliable imebidi nije hapa jamvini!!

  • Shibuda kung'olewa ubunge
  • Dk Slaa kuchukua mikoba ya Shibuda!!
  • Tundu Lissu anaandaa waraka wa kumfukuza Chamani.
  • Zitto kabwe kasema Kamati kuu lazima imuondoe/umfukuze Shibuda uanachama.

Source: Jambo Leo Today
 
Nionavyo ni kwamba Dk Slaa kwa alipofikia hastahili kurudi bungeni kama Mbunge, kazi ya huku anayoifanya imetukuka vya kutosha, Ubunge sio hadhi yake tena, yabidi arudi mjengoni kama Rais!!
 
haya sasa mambo ndio yameanza.... wanaccm tunasubiri matokeo.
 
Kutokana na Source yenyewe kutoiamini/Not reliable imebidi nije hapa jamvini!!
  • Shibuda kung'olewa ubunge
  • Dk Slaa kuchukua mikoba ya Shibuda!!
  • Tundu Lissu anaandaa waraka wa kumfukuza Chamani.
  • Zitto kabwe kasema Kamati kuu lazima imuondoe/umfukuze Shibuda uanachama.
Source: Jambo Leo Today

Mkuu, hivi haulifahamu hili gazeti kweli?
 
Nionavyo ni kwamba Dk Slaa kwa alipofikia hastahili kurudi bungeni kama Mbunge, kazi ya huku anayoifanya imetukuka vya kutosha, Ubunge sio hadhi yake tena, yabidi arudi mjengoni kama Rais!!
Usifanye mchezo na posho ndugu yangu.... tamaa ndio inamrudisha huko bungeni.
 
akirudi bungeni ile posho ya millioni saba itasitishwa?????
 
heheheheeeeeee huyo ndiye rais wenu eti anakiu ya posho na anaviza kajimbo kokote ajitose hahahahaaaaaaaaaa!!!!!
na nyie vueni gamba tuone, madiwani na huyo shubuda
 
Sidhani kama tatizo ni posho!! CDM hawana haja na Posho, ila CCM ndio kabsaaaaaaaa, bila posho hawaendi!!
 
Mimi si muumini wa slaa ila hili la kurudi bungeni BIG YES. Hata kura yangu atapata akija kugombea (Ila urais no Please). Nimemiss mchango uliotukuka bungeni wa huyu mtu. Wish hizi tetesi ziwe za kweli.
 
Naunga mkono shibuda aondolewe ila wafuate taratibu zote na aruhusiwe kujitetea kwenye vikao vya chama kwa mujibu wa katiba ya CDM.

Dr. Slaa aendelee kuimarisha chama hasa ni rural areas, ubunge awaachie madogo wa Umoja wa vijana wa Chadema nina imani 100% yeyote atakayesimama kwa tiketi ya chadema hata kama ni mimi nitapita tu. watu wamechachoka CCM ya umagamba.
 
Namshauri akagombee ilo jimbo la Shubuda halafu Shibuda anagombea kupitia CCM, patamu hapo Magamba na Magwanda
 
Kutokana na Source yenyewe kutoiamini/Not reliable imebidi nije hapa jamvini!!
  • Shibuda kung'olewa ubunge
  • Dk Slaa kuchukua mikoba ya Shibuda!!
  • Tundu Lissu anaandaa waraka wa kumfukuza Chamani.
  • Zitto kabwe kasema Kamati kuu lazima imuondoe/umfukuze Shibuda uanachama.
Source: Jambo Leo Today

Nawashauri Chadema wawe makini sana katika kutekeleza hilo kwani wanatakiwa wawe na strong reasons za kumfukuza. Kwani kinyume chake atawaburuza mahakamani na akiwashinda tu atabaki bungeni kwa nguvu za mahakama. Refer Bi Naila Jidawi wa CUF.

msikirupuke
 
By the way, Dr Slaa sio wa viwango vya chini kiasi hicho. Wanakijenga chama na wana watu wengi wenyeuwezo wa kuwawakilisha wananchi kutokea maeneo yao! Hata ikitokea kweli Shibuda kupigwa chini, basi taratibu stahiki kwa mujibu wa katiba ya chama lazima zitumike kumpiga chini na kumchagua mgombea atakayesimama.
 
Nawashauri Chadema wawe makini sana katika kutekeleza hilo kwani wanatakiwa wawe na strong reasons za kumfukuza. Kwani kinyume chake atawaburuza mahakamani na akiwashinda tu atabaki bungeni kwa nguvu za mahakama. Refer Bi Naila Jidawi wa CUF.

msikirupuke

binafsi siafiki slaa kugombea ubunge huko, hata hivyo naamini huo ni uzushi wa wanamgamba tu, lakini hilo la kumfukuza shibuda naunga mkono hoja 100%, ww unasema atawaburuza mahakamni, kwa lipi? km hafuati sera za chama ataenda kushtaki kitu gani mahakamni?
 
Nawashauri Chadema wawe makini sana katika kutekeleza hilo kwani wanatakiwa wawe na strong reasons za kumfukuza. Kwani kinyume chake atawaburuza mahakamani na akiwashinda tu atabaki bungeni kwa nguvu za mahakama. Refer Bi Naila Jidawi wa CUF.

msikirupuke

Sababu wanazo nyinginyingi tu, sema umakini wa hali ya juu unatakiwa!! Huyu bwana ni kimeo kwa watu makini
 
Hakuna Sheria ya kumfukuza mbunge, ni kusubiri mpaka kipindi chake kiishe
 
Back
Top Bottom