Kutokana na Source yenyewe kutoiamini/Not reliable imebidi nije hapa jamvini!!
Source: Jambo Leo Today
- Shibuda kung'olewa ubunge
- Dk Slaa kuchukua mikoba ya Shibuda!!
- Tundu Lissu anaandaa waraka wa kumfukuza Chamani.
- Zitto kabwe kasema Kamati kuu lazima imuondoe/umfukuze Shibuda uanachama.
Usifanye mchezo na posho ndugu yangu.... tamaa ndio inamrudisha huko bungeni.Nionavyo ni kwamba Dk Slaa kwa alipofikia hastahili kurudi bungeni kama Mbunge, kazi ya huku anayoifanya imetukuka vya kutosha, Ubunge sio hadhi yake tena, yabidi arudi mjengoni kama Rais!!
kwani imeisha kuwa confirmed mpaka unasema hivyo!Usifanye mchezo na posho ndugu yangu.... tamaa ndio inamrudisha huko bungeni.
sasa kama ni rumors basi kwanini mnaileta humu JF.kwani imeisha kuwa confirmed mpaka unasema hivyo!
Wacha tuvute subiraheheheheeeeeee huyo ndiye rais wenu eti anakiu ya posho na anaviza kajimbo kokote ajitose hahahahaaaaaaaaaa!!!!!
na nyie vueni gamba tuone, madiwani na huyo shubuda
Kutokana na Source yenyewe kutoiamini/Not reliable imebidi nije hapa jamvini!!
Source: Jambo Leo Today
- Shibuda kung'olewa ubunge
- Dk Slaa kuchukua mikoba ya Shibuda!!
- Tundu Lissu anaandaa waraka wa kumfukuza Chamani.
- Zitto kabwe kasema Kamati kuu lazima imuondoe/umfukuze Shibuda uanachama.
Kutokana na Source yenyewe kutoiamini/Not reliable imebidi nije hapa jamvini!!
Source: Jambo Leo Today
- Shibuda kung'olewa ubunge
- Dk Slaa kuchukua mikoba ya Shibuda!!
- Tundu Lissu anaandaa waraka wa kumfukuza Chamani.
- Zitto kabwe kasema Kamati kuu lazima imuondoe/umfukuze Shibuda uanachama.
Nawashauri Chadema wawe makini sana katika kutekeleza hilo kwani wanatakiwa wawe na strong reasons za kumfukuza. Kwani kinyume chake atawaburuza mahakamani na akiwashinda tu atabaki bungeni kwa nguvu za mahakama. Refer Bi Naila Jidawi wa CUF.
msikirupuke