source: Jamba leohakuna sheria ya kumfukuza mbunge, ni kusubiri mpaka kipindi chake kiishe
Shibuda atafukuzwa uanachama. Kama mtaamua kubadilisha sheria juu kwa juu abaki kuwa mbunge basi atakuwa mbunge wa chama chako ila siyo wa chadema!Hakuna Sheria ya kumfukuza mbunge, ni kusubiri mpaka kipindi chake kiishe
Hata mimi siungi mkono kugombea ubunge rais wangu. Kwenye majimbo aweke vijana hodari wa kukiendeleza chama. Na sisi vijana tuwe tayari kumuunga mkono pamoja na chama ili kusudi asione pengo lolote au sehemu yeyote inalegalega, tuungane kama nyuki kwenye mzinga. Lengo ni kupata viongozi wa kulijenga taifa letu na kuthamini maisha ya watanzania kama nchi nyingine.Dr, hizi habari zimetushtua sana vijana wako na wafuasi wazuri wa CDM..tafadhali tunaomba maelezo kuhusu hii habari..
binafsi siafiki slaa kugombea ubunge huko, hata hivyo naamini huo ni uzushi wa wanamgamba tu, lakini hilo la kumfukuza shibuda naunga mkono hoja 100%, ww unasema atawaburuza mahakamni, kwa lipi? km hafuati sera za chama ataenda kushtaki kitu gani mahakamni?
Kutokana na Source yenyewe kutoiamini/Not reliable imebidi nije hapa jamvini!!
Source: Jambo Leo Today
- Shibuda kung'olewa ubunge
- Dk Slaa kuchukua mikoba ya Shibuda!!
- Tundu Lissu anaandaa waraka wa kumfukuza Chamani.
- Zitto kabwe kasema Kamati kuu lazima imuondoe/umfukuze Shibuda uanachama.
Hakuna Sheria ya kumfukuza mbunge, ni kusubiri mpaka kipindi chake kiishe
Atasimamia kuwa anayotofautiana na Chama chake ni yale ya msingi aliyoagizwa na wapiga kura wake ambayo ni kinyume cha matakwa ya chama chake.
Vile vile lazima walete ushahidi tosha usio na shaka wa kumfukuza uanachama mbao utaweza kukubalika na mahakama katika kumwondoa UBUNGE. Elewa kuna issue mbili hapo. Uanachama na ubunge.
ndio maana nikakupa refer kesi ya Naila Jidawi VS CUF
source: jambo leo, owner riz one kikwete, unategemea nini? subira yavuta kheri.
By the way, Dr Slaa sio wa viwango vya chini kiasi hicho. Wanakijenga chama na wana watu wengi wenyeuwezo wa kuwawakilisha wananchi kutokea maeneo yao! Hata ikitokea kweli Shibuda kupigwa chini, basi taratibu stahiki kwa mujibu wa katiba ya chama lazima zitumike kumpiga chini na kumchagua mgombea atakayesimama.
Naunga mkono shibuda aondolewe ila wafuate taratibu zote na aruhusiwe kujitetea kwenye vikao vya chama kwa mujibu wa katiba ya CDM.
Dr. Slaa aendelee kuimarisha chama hasa ni rural areas, ubunge awaachie madogo wa Umoja wa vijana wa Chadema nina imani 100% yeyote atakayesimama kwa tiketi ya chadema hata kama ni mimi nitapita tu. watu wamechachoka CCM ya umagamba.
binafsi siafiki slaa kugombea ubunge huko, hata hivyo naamini huo ni uzushi wa wanamgamba tu, lakini hilo la kumfukuza shibuda naunga mkono hoja 100%, ww unasema atawaburuza mahakamni, kwa lipi? km hafuati sera za chama ataenda kushtaki kitu gani mahakamni?
Sababu wanazo nyinginyingi tu, sema umakini wa hali ya juu unatakiwa!! Huyu bwana ni kimeo kwa watu makini
Hivi kweli unachoandika ndio unachoamini? Unasikitisha mzalendoUsifanye mchezo na posho ndugu yangu.... tamaa ndio inamrudisha huko bungeni.
Mbunge yuko pale kwa mgongo wa chama chake, akivuliwa uanachama automaticaly anapoteza ubunge...hilo liko waziHakuna Sheria ya kumfukuza mbunge, ni kusubiri mpaka kipindi chake kiishe
Usifanye mchezo na posho ndugu yangu.... tamaa ndio inamrudisha huko bungeni.