Inasikitisha viongozi wakuu wa CCM kushindwa kutoa tamko kali juu ya madai ya nyongeza ya posho. Huu ni muendelezo wa viongozi na wanachama kutokuwa wazalendo hizo kutaka kujinufaisha wao binafsi kama ilivyozoeleka hadi imefikia kutamka waziwazi tena kutowaogopa hata viongozi wakuu kwa kuwa nao wana sifa hizo hizo na ndo mana wapo kimya. Wakae wakijua haya ndo matunda waliotutengenezea kupitia chama chao na uongozi wao.