Inasikitisha viongozi wakuu wa CCM kushindwa kutoa tamko kali juu ya madai ya nyongeza ya posho. Huu ni muendelezo wa viongozi na wanachama kutokuwa wazalendo hizo kutaka kujinufaisha wao binafsi kama ilivyozoeleka hadi imefikia kutamka waziwazi tena kutowaogopa hata viongozi wakuu kwa kuwa nao wana sifa hizo hizo na ndo mana wapo kimya. Wakae wakijua haya ndo matunda waliotutengenezea kupitia chama chao na uongozi wao.
tuonyeshe tamko la chadema, chama kikuu cha upinzani nchini
Kwani hujasikia chadema wamethumbutu kusema posho zikate kodi? Nawe nipe tamko la CCM kuhusu hilo.
pia utambue kuwa bunge la katiba si la kichama. Na ndo maana hata CHADEMA wamekaaa kimya katika hili
Chadema huwa inanyamaza kwanza ili ipate kuwakamata ccm kwa makosa yao. Na tayari wameanza kusema posho zikatwe kodi. Vipi kuhusu CCM?
Si hilo tu chadema walishasema huu ni mkakati wa ccm kuwatoa kupoteza muda na kuwachelewesha wajumbe kujadili hoja za msingi.
Wewe itakuwa ndiyo mjumbe unaedai posho iongezeke wakati kuna watanzania wanapoteza uhai kwa kukosekana kwa madawa mahospitalini.mkuu, mbona unatema pumba sana? Yaelekea hapo ulipo una hangingover za gongo
hoja sio posho. hoja ni nyongeza ya posho. ndio matatizo ya div 5. soma na uelewe ndipo ujibu hoja.Mkuu kwani kuna kiongozi yeyote yule wa chama cha upinzani either ni Chadema, CUF, NCCR au chama kingine aliyekanusha au kuzumgumzia kuhusu kutokuchukua posho?? Ni wazi kuwa ukimya wao unadhihirisha wao pia wanataka posho hizo.
Wewe itakuwa ndiyo mjumbe unaedai posho iongezeke wakati kuna watanzania wanapoteza uhai kwa kukosekana kwa madawa mahospitalini.
hoja sio posho. hoja ni nyongeza ya posho. ndio matatizo ya div 5. soma na uelewe ndipo ujibu hoja.