Haya yanatokea vipi Kenya?

Haya yanatokea vipi Kenya?

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Inawezekana vipi haya kutokea Kenya? Nchi 'tajiri na yenye raia wenye akili' kuliko wote Africa? Kwa kweli nimesikitika sana!
 
Forgive me; lakini ulikuwa usingizini tangu June 2018 hadi leo? Maana habari hii ni ya July 2018 lakini umei-post hii as if it is current news!
 
To me its NEW.
 
Huko kenya kuna kuna upigaji mkubwa sana wa madeal ya ufisadi serikalini, ile ishu ya Euro bond sijui ilishaje, halafu kuna wizi mwingine ulitokea juzi kati, halafu inajifanya ina akili sana
 
Inawezekana vipi haya kutokea Kenya? Nchi 'tajiri na yenye raia wenye akili' kuliko wote Africa? Kwa kweli nimesikitika sana!
Duh hawa wachina sio wa kukaribisha nchini mwako mtalia na kusaga meno
 
Back
Top Bottom