Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama upo Dar es Salaam nenda pale DIT wana maabara za kisasa kwa kupima sampuli.
Ukiondoa mleta uzi mpaka kufikia kwako ndio post ya kwanza ya mtu mwenye akili timamu na mstaaran waliovakia natamani kuwapa yusi ila ustaarab umenifunga mikono .Kama upo Dar es Salaam nenda pale DIT wana maabara za kisasa kwa kupima sampuli.
Utaratibu utaupata hapo
sawaKama upo Dar es Salaam nenda pale DIT wana maabara za kisasa kwa kupima sampuli.
Utaratibu utaupata hapo
Unamtisha nani weweUkiondoa mleta uzi mpaka kufikia kwako ndio post ya kwanza ya mtu mwenye akili timamu na mstaaran waliovakia natamani kuwapa yusi ila ustaarab umenifunga mikono .
Ngoja niendelee mbele nikikosa comment nyingine yenye akili narudi kuja poromosha mayusi kwa mmoja mmoja wote waliojibu upuuzi mpaka nopate ban!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kwanza kuandika ndo uje uwatishe watu
na ban atakupa huyo huyo uliyemjibu,ni mod huyoUkiondoa mleta uzi mpaka kufikia kwako ndio post ya kwanza ya mtu mwenye akili timamu na mstaaran waliovakia natamani kuwapa yusi ila ustaarab umenifunga mikono .
Ngoja niendelee mbele nikikosa comment nyingine yenye akili narudi kuja poromosha mayusi kwa mmoja mmoja wote waliojibu upuuzi mpaka nopate ban!
Sent using Jamii Forums mobile app