Haya yanaweza kua madini gani na bei yake ikoje

huu mwaka huu... tutauza hadi mavi mamamae.... iyo ni gamestone inaitwa change color.... but iyo ina leakage.. inzi..

Yaaani haina inshu....

Kuna watu watapinga tu.

Sent from "La -Vista"
 
Kama upo Dar es Salaam nenda pale DIT wana maabara za kisasa kwa kupima sampuli.
Utaratibu utaupata hapo
Ukiondoa mleta uzi mpaka kufikia kwako ndio post ya kwanza ya mtu mwenye akili timamu na mstaaran waliovakia natamani kuwapa yusi ila ustaarab umenifunga mikono .
Ngoja niendelee mbele nikikosa comment nyingine yenye akili narudi kuja poromosha mayusi kwa mmoja mmoja wote waliojibu upuuzi mpaka nopate ban!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni Tanzanite mkuu inapatikana Tanzania pekee hapa duniani. Bei yake sina uhakika sana ila ni ghali balaaa.
Umeaga umasikini kiongozi wangu
 
Unamtisha nani wewe
 
na ban atakupa huyo huyo uliyemjibu,ni mod huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…