residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Khaaaa ni ujinga uliokomaa kwa ujingaaaKumekuwa na ujengaji mkubwa na wa kasi wa miundombinu kwenye wilaya ya Rufiji.
Madaraja, barabara, majengo ya ghorofa vinajengwa kwa kasi kubwa sana.
Nimekutana na wana Rufiji ambao katika kuwadodosa, wameonyeshaa kuelewa kuwa kuna mpango na jitihada kubwa wa kuifanya Rufiji kuwa Mkoa (utakaokuwa na wilaya za Mkuranga,Mafia,Kibiti, Ikwiriri na Muhoro).
Naomba kuuliza wadau, hizi tetesi ni za kweli!!!?
Ndio ni tetesi za kweliKumekuwa na ujengaji mkubwa na wa kasi wa miundombinu kwenye wilaya ya Rufiji.
Madaraja, barabara, majengo ya ghorofa vinajengwa kwa kasi kubwa sana.
Nimekutana na wana Rufiji ambao katika kuwadodosa, wameonyeshaa kuelewa kuwa kuna mpango na jitihada kubwa wa kuifanya Rufiji kuwa Mkoa (utakaokuwa na wilaya za Mkuranga,Mafia,Kibiti, Ikwiriri na Muhoro).
Naomba kuuliza wadau, hizi tetesi ni za kweli!!!?
Morogoro Tabora na LindiWaanze na kuigawanya na Morogoro.
Kule Angola ukitaka kwenda Cabinda Angola inabidi upite kwanza DRC halafu ndio ufike Cabinda, na wa Longido anapita Arusha mjini hadi Babati kupata huduma zake, hata wa Merelani anaiona Arusha hii hapa lakini anaenda Babati.wakazi wengi wanaunga mkono jambo hilo , wanasema wanasikitika wakitaka kwenda mkoani (ofisini) wanatoka ikwiriri,kibiti wanaingia DAR alafu wanatoka tena kuifata kibaha
upande wa raia wao wanaunga mkono tetesi hizo ambazo zina miaka kadhaa sasa, imani ni kwamba huu ukanda wa kibiti utachangamka zaidi kama mkoa huo ukigawanywaKule Angola ukitaka kwenda Cabinda Angola inabidi upite kwanza DRC halafu ndio ufike Cabinda, na wa Longido anapita Arusha mjini hadi Babati kupata huduma zake, hata wa Merelani anaiona Arusha hii hapa lakini anaenda Babati.
Tabora na Morogoro. je Rufiji imekidhi vigezo vya kuwa mkoa ikiwemo Idadi ya watu,shughuli za kiuchumi,miundo mbinu,Mkoa wa Rufiji😀
Mkoa wa Chato😀
Kila atambe na awamu yake
Kwa hisani ya MchengerwaKumekuwa na ujengaji mkubwa na wa kasi wa miundombinu kwenye wilaya ya Rufiji.
Madaraja, barabara, majengo ya ghorofa vinajengwa kwa kasi kubwa sana.
Nimekutana na wana Rufiji ambao katika kuwadodosa, wameonyeshaa kuelewa kuwa kuna mpango na jitihada kubwa wa kuifanya Rufiji kuwa Mkoa (utakaokuwa na wilaya za Mkuranga,Mafia,Kibiti, Ikwiriri na Muhoro).
Naomba kuuliza wadau, hizi tetesi ni za kweli!!!?
OKTOBA 29 NI MAANDAMANO MAKUBWA SANA ZAIDI YA ILIVYOKUWA YA AWALI.
OKTOBA 29 NI MAANDAMANO MAKUBWA SANA ZAIDI YA ILIVYOKUWA YA AWALI.