ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Sijaelewa ni saikolijia au nini, imeanza kunitokea tokea wiki iliyopita..kila nikifika nyumbani kwangu tokea ofisini kuna kitu kinakuwa kama kinaingia kichwani, kinakamata kichwa na baadae kichwa kina kaza na mishipa ya shingo ina kaza pia. Pengine unahisi miguu ina chili au kuwaka moto na tumbo kuunguruma....Sijajua ni mambo gani haya, pengine inafikiwa wakati mpaka unahisi kwenda haja kubwa!!!