Haya yanayosemwa kuhusu wanawake wa kipare yana ukweli?

yaani mtu anakuja kuuliza tabia za mpenzio wake jf kwani sisi tunamjua jamani?watanzania kwa kupenda kudanganywa?

Japo kweli watanzania tunapenda sana kutambua makabila kwa tabia, kisaikolojia na hata kwa ushahidi wa sisi wenyewe katika mahusiano yetu ya kila siku KILA MWANADAMU ANA TABIA ZAKE!

Siyo kila mtoka kabila isadikiwayo kupenda ugomvi ni mgomvi; sio kila atokaye kwa kabila MALAYA (lidhaniwavyo) ni malaya, n.k.

Jamaa yako ajiangalie akitakacho kwa mpenzi wake; na mema vs mapungufu! Mizani ikakaa sawa aoe! Mie nimeoa toka kabila la wala watu na mwaka wa 20 ndaoni niko hai nachangia sasa katika JF! Ukisikiliza sana theory hutooa wewee!
 
Ha ha ha ha Wanawake wa kipare ukioa utatambulishwa makaka, mashemeji kibao ila ujue kati yao wamo waume wenzio, dadisi uone.
 

Mbona hii tabia ipo sehemu nyingi tu wanazoishi hawa viumbe binadamu? Au unataka kuniambia hili ongezeko la waganga na wataalam wa kusambaza viagra, kuanzia Dar mpaka mikoa mingine, ina maana wanawafuata wapare tu?? Well, wanaweza wakawa ndo wataalam zaidi but it is not a guarantee kwamba makabila/watu wengine hawahusiki. May be wao ndo wanaovuma, ila kuna wale 'hawavumi lakini wamo'!
 
Tungekuwa tunachaji watu fees za ushauri nadhani watu wasingekuwa wanauliza vitu vya ajabu hivi.....

kumbuka hata katika upuuzi wa mpuuzi, mtu mwenye hekima anaweza akajifunza jambo.
 
Uliza kwa mutu yeyote,mtu akiwa bahiri ujue lazma atakuwa mchoyo na mtu akiwa mpenda kesi atakuwa mkorofi,kwa mpare ni bahiri na anapenda kesi ushaidi ninao.Jumlisha haya yote jibu utalipata.BAHIRI+KUPENDA KESI=?
 
yaani mtu anakuja kuuliza tabia za mpenzio wake jf kwani sisi tunamjua jamani?watanzania kwa kupenda kudanganywa?

Nilivyomuelewa haulizi kuhusu tabia ya msichana wake, anachotaka kujua ni uthibitisho wa tabia za jumla za wasichana wengi wa kipare
 
Mim naamin tabia zinatofautiana baina ya makabila,.
HUU NI MTAZAMO;-kwa mfano Wanyakyusa- wanawake weng wanapenda kuwatawala waume zao (kuwa na Last say) hawapend kutawaliwa.
 
Wapare ;- wabahili na wachoyo..
Wakurya na Wasukuma;- hawawaheshimu wanawake zao, mwanamke hana usemi.
Wachaga wa machame ;-wanapenda mali na pesa,. Matapel likija suala la mali au pesa..
Wasambaa/wazigua/tanga kwa ujumla:- wana mapenzi na wavumilivu (a kind heart)..
Wahaya ;- wanaume-wanajisifia sana, wanawake-hawana msimano...
Wamasai:-wanawake-wanaheshima na wanamwona mwanaume km Mungu.
 
Wazaramo- wanawake wanaongea sana na malaya, kubadil wanaume kwao ni fasheni,
wanaume- malaya, wanapenda nyumba ndogo.

Ongezea mengne;-,
 

Umempa ushauri mzuri sana pia kumbuka hata kuku mwenyewe ukimchunguza sana humli
 
Ha ha ha ha Wanawake wa kipare ukioa utatambulishwa makaka, mashemeji kibao ila ujue kati yao wamo waume wenzio, dadisi uone.

Mtasema yote ila kila kabila lina mapungufu yake japo ndani ya makabila hayohayo kuna ambao hawana hizo tabia kabisa so ni wewe kuwa nae muda mrefu na kujaribu kumchunguza tabia zake kama zitakufaa kuwa nae
 

wewe anko yupo humu shauri ako.nukta
 



Sio kweli!!! Mimi ni Mbondei natoka Tanga na kwetu hatuna send off!! We belongs to our father's clan till death. Kama hujui, uliza waliowahi kuoa Tanga na wakafiwa na wake zao, kasheshe walizopata. Kwa sisi wanawake wa Tanga, send off ni mambo ya kuiga tu (wapare, wachaga), nafasi yetu kwenye uko ipo tu, , KOFI KIDOGO TU NIKIRUDI KWETU NANAPEWA MUME MWINGINE NA WEWE UMEULA WA CHUYA ( ila mume wangu is safe kwa hilo, kwa kisomo changu nimeshajikomboa!!!

Kaaa chonjo na Tanga line.....
 
Mimi nina bosi wangu mpare ana roho mbaya sana, na tabia zote zilizotajwa hapa za anazo, ila sijajua kama ni tabia zake tu au ni kwa sababu ya upare, lakini cha kushangaza anasema kuwa hatakubali mtoto wake aoe mpare kwa sababu hapendi tabia zao. Jamani huyo anayeongea hivyo ni mpare pure
 
WE WA WAPII mkuu ningependa kujuaa?maana inaunekana wewee unaesikiliza story za vijiweni?unapenda kupigaa wanawake,muonevu,mzalilishajiii na mkabailaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…