Haya yanayosemwa kuhusu wanawake wa kipare yana ukweli?


Mwanamke au Mwanaume?

Jamni kuna combination hapa sijui inakaaje! mmh ina naopoga kutangaziwa Jihad!
 
hakuna kama hiko,mimi nimeoa mkurya lakini hakuna siku ameniomba nimtwange.
 
Mimi si pendi ukabila. Ila katika kila jambo linalo ongelewa changanya na zako.
 
hakuna kama hiko,mimi nimeoa mkurya lakini hakuna siku ameniomba nimtwange.

We acha uongo mbona mnatwangana daily au we kutwanga ni mpaka kwa ngumi na mateke? Hivyo hivyo unavyomfanya unamtwanga.
 

Ongeza......
Wanyiramba/wanyaturu-malaya, wachawi,wachoyo, wanaua wanaume ili warithi mali........
ila hapo kwenye red sio kweli, wapare sio wachoyo kabisa, atakunyima hela lakin chakula na pa kulala atakupa bure hata kwa mwaka mzima! nenda upareni utahakikisha hili
 
Mwambie huyo mwenzio nyumba na mali ni urithi mtu apewao au apatao kwa babaye bali mume au mke mwenye busara mtu hupewa na Mungu kumbuka Mungu ndie kaumba makabila yote na yote yanafaa penngine tabia ya mtu na sio kabila kama anampenda na amwoe
 
Waapare kwa kichaga waapige wale walifukuzwa uchagani sababu ya uvivu na umalaya!
 
Waapare kwa kichaga waapige wale walifukuzwa uchagani sababu ya uvivu na umalaya!


KIchaga ni lgha ya wapi.................acha kutudnganya bana...........kuna kimachame, kivunjo nk lakini hakuan lugha moja ya kichaga
 
Wapare si wabahili wala wachoyo. Wapare ni WACHUMI, swala la uzinzi na uchawi ni la mtu binafsi na ieleweke kuwa hakuna kabila llt tz lisilo na wachawi wala wazinzi, kwa mfano zamani wachaga walikua wanasifika sana kwa kutokua na tabia za kishirina na umalaya lakini sasa baadhi WANATOA NDUGU ZAO KAFARA ILI WAPATE UTAJIRI, na baadhi ya wadada siku hz wapo juu kwa uzinzi.
 

huo uchumi kwa wasioelewa ndiyo unaitwa ubahiri
 

ya kweli haya?
 
Uzi upo too general!
Tabia ya mtu inategemea sana makuzi kwa maana ya sehemu ambayo muhusika amekulia; mfano wa wapare wenye tabia za kizaramo kwa sababu wamekulia uzaramo na ku-adapt tabia kutokana na mazingira!

Kwa hiyo mazingira ya makuzi ya muhusika ndio hasa determination ya baadhi ya elements za tabia atakayokuwa nayo!

Kwa sasa ni hayo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…