Haya yataweza kutokea kwetu?

Fundi Mchundo

Platinum Member
Joined
Nov 9, 2007
Posts
10,448
Reaction score
8,705
Saudi Arabia to execute woman for 'witchcraft'
Human rights group appeals to Saudi king to stop execution


Kwa vile tunaangalia uwezekano wa kuanzisha mahakama za kadhi nchini mwetu nadhani ni vyema tukiangalia jinsi sharia inavyotekelezwa katika nchi nyingine. Tutaweza kufanya nini ili nchi yetu isiingie katika mkumbo huo? Hivi ni kweli kuwa hukumu kama hii iliyoainishwa hapo juu inaendana na Sharia? Kwetu sisi ambao si waislamu, tutahakikishiwa vipi kuwa hio mahakma ya kadhi haitatufikisha huku? Kwamba si mwanzo wa kudai hukumu kama hizi zitekelezwe kwa waislamu watanzania? Ukiangalia jinsi imani za uchawi zilivyoshamiri katika jamii yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…