Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tupe maoni yako mkuuunaijua ndoa? ndoa ni zaidi ya uloyaandika, hapa naona kama unajifurahisha.
ha ha ha haSasa hayo yote yanavunjwa kwa kauli moja tu "binadamu wote hatujakamilika!"
Au kuna sisi tulioendelea zaidi kuna muhusika huwa tunamuweka utasikia tu "shetani alinipitia!"ππ
Wanaamini kabla ya kuingia uwanjani ulifanya mazoezi ya kutoshaNdoa iheshimiwe na watu wote..ogopa sana unapewa cheti kabla ya kufanya mtihani
Nadhani waliopo kwenye ndoa wao wenyewe wakiwa wanasikilizana,hakutakuwa na migogoro yoyote; ile kutokusikilizana ndipo chanzo cha migogoro uanziaKila ndoa ina karatasi lake la mitihani binafsi kwenye hio ndoa, Kama upandw mwingine wakibusiana hakuna shida, upande mwingine kubusiana ni shida, kila ndoa ina changamoto zake na zinatofautiana hakuna hata moja inayofanana, cha msingi ni kuchukua hatam zako na kuiongoza vinginevyo kila siku mtakua mnkaa vikao vya familia bila suluhisho lolote, Kwa sababu wazee wetu wana ufaham wa mambo ya kale lakini si ya kizazi hiki
Nadhani waliopo kwenye ndoa wao wenyewe wakiwa wanasikilizana,hakutakuwa na migogoro yoyote; ile kutokusikilizana ndipo chanzo cha migogoro uanzia