mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
haya mambo yapo na thread kibao zinazungumzia hizi mambo...jamii imebadilika..anyway mimi huwa ni observer tu wa mambo mbali mbali...ila ya leo kali maana kama ulikua hujui ndo ujue kwamba lile kabila la ukanda wa pwani lishapigwa vikumbo zamaniii na kabila moja ivi huko KASKAZINI!!na ni wataalam kweli wa kuficha hisia na muonekano..wana ndoa zao na kazi zao za heshima!!
habari ndio iyo!!
ndo nini hii wewe mkono wa nyau.........
mbona sijakuelewa hapa,
hii post naona imekaa kipashkuna hiviiii..................lol...
haya mambo yapo na thread kibao zinazungumzia hizi mambo...jamii imebadilika..anyway mimi huwa ni observer tu wa mambo mbali mbali...ila ya leo kali maana kama ulikua hujui ndo ujue kwamba lile kabila la ukanda wa pwani lishapigwa vikumbo zamaniii na kabila moja ivi huko KASKAZINI!!na ni wataalam kweli wa kuficha hisia na muonekano..wana ndoa zao na kazi zao za heshima!!
habari ndio iyo!!
umenena vema..nyc wk end my super dearmhh yani kuna wakti nasoma baadhi ya thread naishia kuckitika tu utadahni watu wamelazimishwa kutuma hata iwe upupu.
mi nimekuelewa mkuu. haya, mwaga basi experience yako na hao wa kaskazini ili waungwana wakupate uzuri yakhe!na usisahau kuelezea kama ww ni wa pwani,lol
imekaa kitaarabu
hahahahahaahha ukisikia ayii ujue limemgusa.....nami nimesikia ila sijathibitishahahah mnajifanya hamuelewi....teh teh!!
heheheh!!mi observer kanda za juu kusini wajamen:israel:
sasa jamani si ndo utoe ripoti ya observation yako? ukikaa na observation yako kumoyo ni sawa na kufanya utafiti afu usi-publish! aiii weee, sema banaa!