hayakuhusu!

vp wanaficha hata mhemuko yao?
 
Boss napenda comment zako huwa nacheka, sasa wewe umeelewaje? hahahahah be blessed brother!
 
Boss napenda comment zako huwa nacheka, sasa wewe umeelewaje? hahahahah be blessed brother!

upo we mtoto?
mi nilifikiri utasema unanipenda mwenyewe,kumbe comments tu lol
na wewe hukuelewa kwani???????
 
Niko wangu, leo unanichekesha. Ki ukweli sijaelewa nabaki kutoa comment kwa waliojaribu kuelewa. Hahahaah hujalala tu?
 
Leo week-end start,...watu wanaandikia bar hizi thread,.........

aha aha aha! Kwa iyo baada ya serengeti ya kwanza,ya pili ,tatu na nne jamaa kaagiza mchemsho,wakat waiter anaandaa,jamaa maji yakapanda kwenye kabureta,akafungua laptop akidhani anamuandikia jirani yake sms kwa msimu wake mkubwa! Tee teeh teeh! Itabidi wengne mkitoka kazini,mkakabizi laptop hom kabla ya kwenda kona bar! Spati picha alivokuwa amekodolea laptop macho akiisaka keypad! Aha ahaa ahaa aaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…