Airfryer
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 430
- 1,039
Benjamin Mkapa ni hayati sasa. Huyu Mwamba ndie Raia aliyeongea Kiingereza kilichonyooka kisichofungamana na lugha za Kikukiyu, kiluya, kinyakyusa, kimakonde au lugha yoyote Mama Afrika Mashariki
Vyombo vya habari vya Kenya mara kadhaa vimemuhoji Benjamin Mkapa kuhusu aliifahamu vipi lugha ya Kiingereza kuanzia muundo, Fasihi na misamiati na kuwa mtu pekee aliyejua Kiingereza kwa ufasaha kwenye nyanja zote za siasa, uchumi na engineeeing Katika Afrika Mashariki na Kusini mwa jangwa la sahara
Mkapa akiwa IMF na World Bank kuomba nchi za Afrika zipunguziwe madeni aliongea Kiingereza kilichowaacha wana uchumi midomo wazi
Afrika Mashariki na bara la Afrika alitambulika kama Baba wa Diplomasia na uwasilishaji wa hoja zenye nguvu kwa lugha fasaha ya Kiingereza
Ni dhahiri shahiri ukihudhuria midahalo ya Thabo Mbeki, Olusegan Obasanjo na Ben Mkapa unapata kutambua Mkapa alikuwa mtu wa pekee sana
Mkapa hakuwa na PhD bali alisoma shahada ya lugha pale Makerere University Uganda
Hakuna chombo cha habari duniani kisichomfahamu Ben Mkapa
Ben Mkapa kuna wakati wazungu wenyewe wenye lugha yao walihitaji msaada wake kwenye uwasilishaji wa mambo yanayohusu Afrika
Kenya, Uganda na Tanzania hatuna mtu tena mwenye uwezo wa kuongea na kufahamu lugha ya Kiingereza
Limebaki Pengo kubwa East Africa
Kuna watu waliozaliwa na vipaji vyao na walitokea vijiji vya ndani kabisa visivyokuwa na mazingira bora ya shule
Viongozi wetu wa sasa Afrika Mashariki hawana uwezo wa kupangilia lugha za kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia kuweza kupambana na wazungu kwenye midahalo kama alivyokuwa Ben Mkapa