Hayati Dkt. Magufuli alichangisha matajiri na wasaidizi wake, hao ndio wenye hela

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount.

Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount.

Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku kwa mtumiaji wa simu.

Maana kwa mwezi (siku 30), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 300.

Kwa mwaka (siku 365), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 3,650.

Kimsingi hiki kiwango Watanzania wengi au karibu wote wanaotumia simu wangeweza kumudu.

Tukikisia kuwa watumiaji wa simu wapo watu 30,000,000 tu kati ya watu zaidi ya 50,000,000 nchini Tanzania.

Hivyo serikali ingeweza kukusanya Tshs. 300,000,000 (300M) kwa siku.

Kwa mwezi (siku 30), Serikali ingeweza kukusanya Tshs. 900,000,000 (900M).

Kwa mwaka (siku 365), Serikali ingeweza kukusanya Tshs. 109,500,000,000 (109.5B).

Kumbe serikali ingeweza kukusanya Tshs. 109,500,000,000 (109.5B) kwa mwaka kwa makisio ya watumiaji wa simu 30M kwa kodi ya Tshs. 10 tu kwa siku.

Je, serikali ingeshindwa kufanya mambo yake?! Kujenga hizo barabara,madarasa na kununua madawa Uchumi usingekuwa?!

Kama hiyo Tshs. 10 kwa siku ni ndogo sana, basi tufanye hata Kodi ya uzalendo iwe Tshs. 1000 kwa mwezi kwa kila mtumiaji wa simu. Bado naamini kwa hiki kiwango watumiaji wa simu wengi wanaweza kuhimili ikiwa ni 1,000 tu kwa mwezi.

Kila mwezi mtumiaji 1 angechangia Tshs. 1000 kama kodi ya uzalendo.

Kwa mwaka (miezi 12) mchangiaji 1 angechangia Tshs. 12,000 kama kodi ya uzalendo.

Kwa makisio ya watumiaji wa simu 30,000,000; Serikali ingeweza kukusanya Tshs. 30,000,000,000 (Tshs. 30B)kwa mwezi.

Kwa mwaka (miezi 12), Serikali ingeweza kukusanya kiasi cha Tshs. 360,000,000,000 (360B).

Je, uchumi usingekuwa?! Hizo barabara za mitaa na vijijini zisingetengenezwa?!

Tozo zilizowekwa zinakwenda kuharibu biashara ya miamala kupitia njia ya simu, hii biashara itazorota na itakosa soko, watu wataikimbia, vijana waliojiajiri kwenye hii biashara watakosa ajira na kuna kundi la watu tegemezi watakosa msaada wa haraka.

Hata kama mnataka kukuza mzunguko wa pesa kwenye mabank, siyo kwa gharama ya kuangamiza soko la miamala kupitia njia ya simu.

Leo hii kijana akitaka kuwa wakala wa bank atadaiwa leseni ya biashara ya miaka 2, ataipata wapi?!

Mbaya zaidi hakuna miundo mbinu ya majengo ya bank ya kutosha Tanzania.

Hii miamala ya simu inafanywa zaidi na Watanzania wa hali ya chini hasa huko vijijini.

Kuna vijiji hadi kuifikia bank ilipo nauli si chini ya Tshs. 5000 hadi Tshs. 10000.

Bado ongezeko la foleni kwenye mabank!!

Itafika mahali kwenda kutoa pesa bank mtu atatumia siku nzima.

Hii tozo ya mshikamano ni kubwa,Mwaka 2019 tulitoa milion 1 tukakatwa 7000 mwaka 2020 wakaongeza ikawa ukitoa Milioni moja unakatwa 8000 leo 21000 kiukweli duh,matajiri wengi ni wakwepa kodi, ule msemo wa kudai risiti hatuusikii siku hizi,Tanzania ni tajiri,Tumechezewa Mnoooo, huwezi fanya miamala ya simu kuwa earning capital, hizo kilometers+barabara+ madawa+ madarasa....nk. watuambie ni sh ngapi zinatakiwa?

Wananchi hatuelewi hii tozo ni endelevu au ni ya muda,tutachangia miaka yote kujenga barabara,madarasa na kununua madawa!!? Mimi ni CCM lakini sita tetea hili, na Finance ndo fani yangu,Rais Magufuli alikuwa anachangisha mpaka wasaidizi wake na ndo wenyehela,leo unamkamua masikini eti mshikamano???!!!! Uzalendo??!!! Tuna vinu vya kusafisha madini sasa hivi, mrabaha wake unaenda wapi?, Kama mradi wa umeme tumeambiwa utakamilika June 2022 na tutakuwa na umeme wa ziada mpaka kuuza nje, hii sera ya mshikamano kwa nini isingesubiri mpaka budget ijayo?, Tuna mradi wa bomba la mafuta! Kwa nini tunaharakisha huu ujinga, au tunadhani roma ilijengwa kwa siku moja!!?

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Lakini je Kulikuwa na ulazima wa kutaja namba yako ya simu na elimu zako zote degree na masters?
 
Labda nadhan kwa ufafanuz

Lakn kiundani n ujinga aliotuletea yule shetan wa chato kuteua kwa kiki hivyo mambo ya namba ya simu yalipoanza mkuu

Fikiria enz za jk na mkapa hakukuwa na kuweka namba za simu kwenye bandiko

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
RAIS MAGUFULI ALICHANGISHA MATAJIRI NA WASAIDIZI WAKE,HAO NDIO WENYE HELA.

Leo 14:15 hrs 18/07/2021

Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount.

Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount.

Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku kwa mtumiaji wa simu.

Maana kwa mwezi (siku 30), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 300.

Kwa mwaka (siku 365), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 3,650.

Kimsingi hiki kiwango Watanzania wengi au karibu wote wanaotumia simu wangeweza kumudu.

Tukikisia kuwa watumiaji wa simu wapo watu 30,000,000 tu kati ya watu zaidi ya 50,000,000 nchini Tanzania.

Hivyo serikali ingeweza kukusanya Tshs. 300,000,000 (300M) kwa siku.

Kwa mwezi (siku 30), Serikali ingeweza kukusanya Tshs. 900,000,000 (900M).

Kwa mwaka (siku 365), Serikali ingeweza kukusanya Tshs. 109,500,000,000 (109.5B).

Kumbe serikali ingeweza kukusanya Tshs. 109,500,000,000 (109.5B) kwa mwaka kwa makisio ya watumiaji wa simu 30M kwa kodi ya Tshs. 10 tu kwa siku.

Je, serikali ingeshindwa kufanya mambo yake?! Kujenga hizo barabara,madarasa na kununua madawa Uchumi usingekuwa?!

Kama hiyo Tshs. 10 kwa siku ni ndogo sana, basi tufanye hata Kodi ya uzalendo iwe Tshs. 1000 kwa mwezi kwa kila mtumiaji wa simu. Bado naamini kwa hiki kiwango watumiaji wa simu wengi wanaweza kuhimili ikiwa ni 1,000 tu kwa mwezi.

Kila mwezi mtumiaji 1 angechangia Tshs. 1000 kama kodi ya uzalendo.

Kwa mwaka (miezi 12) mchangiaji 1 angechangia Tshs. 12,000 kama kodi ya uzalendo.

Kwa makisio ya watumiaji wa simu 30,000,000; Serikali ingeweza kukusanya Tshs. 30,000,000,000 (Tshs. 30B)kwa mwezi.

Kwa mwaka (miezi 12), Serikali ingeweza kukusanya kiasi cha Tshs. 360,000,000,000 (360B).

Je, uchumi usingekuwa?! Hizo barabara za mitaa na vijijini zisingetengenezwa?!

Tozo zilizowekwa zinakwenda kuharibu biashara ya miamala kupitia njia ya simu, hii biashara itazorota na itakosa soko, watu wataikimbia, vijana waliojiajiri kwenye hii biashara watakosa ajira na kuna kundi la watu tegemezi watakosa msaada wa haraka.

Hata kama mnataka kukuza mzunguko wa pesa kwenye mabank, siyo kwa gharama ya kuangamiza soko la miamala kupitia njia ya simu.

Leo hii kijana akitaka kuwa wakala wa bank atadaiwa leseni ya biashara ya miaka 2, ataipata wapi?!

Mbaya zaidi hakuna miundo mbinu ya majengo ya bank ya kutosha Tanzania.

Hii miamala ya simu inafanywa zaidi na Watanzania wa hali ya chini hasa huko vijijini.

Kuna vijiji hadi kuifikia bank ilipo nauli si chini ya Tshs. 5000 hadi Tshs. 10000.

Bado ongezeko la foleni kwenye mabank!!

Itafika mahali kwenda kutoa pesa bank mtu atatumia siku nzima.

Hii tozo ya mshikamano ni kubwa,Mwaka 2019 tulitoa milion 1 tukakatwa 7000 mwaka 2020 wakaongeza ikawa ukitoa Milioni moja unakatwa 8000 leo 21000 kiukweli duh,matajiri wengi ni wakwepa kodi, ule msemo wa kudai risiti hatuusikii siku hizi,Tanzania ni tajiri,Tumechezewa Mnoooo, huwezi fanya miamala ya simu kuwa earning capital, hizo kilometers+barabara+ madawa+ madarasa....nk. watuambie ni sh ngapi zinatakiwa?

Wananchi hatuelewi hii tozo ni endelevu au ni ya muda,tutachangia miaka yote kujenga barabara,madarasa na kununua madawa!!? Mimi ni CCM lakini sita tetea hili, na Finance ndo fani yangu,Rais Magufuli alikuwa anachangisha mpaka wasaidizi wake na ndo wenyehela,leo unamkamua masikini eti mshikamano???!!!! Uzalendo??!!! Tuna vinu vya kusafisha madini sasa hivi, mrabaha wake unaenda wapi?, Kama mradi wa umeme tumeambiwa utakamilika June 2022 na tutakuwa na umeme wa ziada mpaka kuuza nje, hii sera ya mshikamano kwa nini isingesubiri mpaka budget ijayo?, Tuna mradi wa bomba la mafuta! Kwa nini tunaharakisha huu ujinga, au tunadhani roma ilijengwa kwa siku moja!!?

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Ndio maana Wasomi mnadharaulika kwasababu ya vitu kama hivi, Theory zisizotekelezeka na assumptions nyingi. Hivi Serekali itumie juhudi zote hizo kupata 105b kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom