Hayati Dkt. Magufuli alijua makinikia ulikuwa 'mziki mnene' kwake

Nimewawekea clip juu ya hilo sakata jinsi lilivyokwisha kimyakimya.

Lkn bado wapo watu wanaamini kuwa aliweza kuwabana mabeberu.View attachment 2371173
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania. Kupitia kampuni mpya ya Twiga watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini.

Lisu alilipwa na nani kuwadanganya Watanzania?
------------ ------- ---------- --------
Dodoma. Sakata la makinikia limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhoji kwa nini Serikali ilikubali kupokea sh. 700 bilioni zilizotokana na kesi za malimbikizo ya madeni ya makinikia badala ya sh. 360 trilioni ambayo ni madai halali kwa Tanzania?

Mpina amehoji swali hilo la nyongeza katika kipindi cha maswali na majibu bungeni leo Alhamis, Septemba 22,2022.

“Kwa nini Serikali ilikubali kupokea sh. 700 bilioni kutoka katika kesi za malimbikizo ya madeni maarufu kama makinikia badala ya Sh360 trilioni ambayo ni madai halali katika nchi yetu?” amehoji.

Akijibu swali hilo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali haijakubali kupokea fedha hizo (Sh700 bilioni) na kuacha Sh360 trilioni, isipokuwa ilipeleka malalamiko kuhusu kampuni za madini.

Hata hivyo, kabla ya kumaliza kulijibu swali hilo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson alimkatisha na kutaka ufafanuzi wa majibu ya Serikali yaliyotofautiana na swali la msingi lililoulizwa na Mpina.

Akijibu swali hilo, Waziri Mwigulu amesema Serikali haikupokea kimya kimya fedha hizo (Sh700 bilioni) na kuacha sh. 360 trilioni bali kilichofanyika ni kwa Serikali kupeleka malalamiko kwenye kampuni za madini.
 
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania. Kupitia kampuni mpya ya Twiga watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini.
Lisu alilipwa na nani kuwadanganya watanzania?

Magufuli kumbe aliamua kufanya sherehe kabisa baada ya kutwangwa za shingo na mabeberu
 
alichokisema tundu lisu ndicho kilichotokea kwa akili zako unahisi lisu aliongea uongo. ipo wapi riport ya kilaghai ya OSORO?
 
Magufuli aliwalaghai wajinga kuwa tutalipwa matrillion, halaf kila mtu atapata Noah yake. Wajinga wakaanza hadi kuchagua rangi ya Noah
 
Aliyeleezea hapo ni Maghufuli au ni Nani ? Kiazi kweli
Hata utumie lugha ya kejeli haiondoi ukweli Magufuli alikuwa mtu mwenye pupa bila maarifa ya kudeal na Barrick/Accasia
 
Nimewawekea clip juu ya hilo sakata jinsi lilivyokwisha kimya kimya.

Lakini bado wapo watu wanaamini kuwa aliweza kuwabana mabeberu.View attachment 2371173
FB_IMG_1652379712226.jpg
 
Magufuli alivyokuwa kimbelembele na kupenda sifa tungekuwa tumelipwa na acacia malipo sahihi,Tbc wangekuwa mbashara mwezi mzima kuonyesha tukio la malipo, lakini kwa kuwa Magufuli alipigwa za uso mambo yaliisha kimyakimya utafikri hakuna kitu kilichokuwa kinaendelea.
 
Back
Top Bottom