Hayati Lyatonga Mrema angetuambia ukweli juu ya waliohongwa huko Dubai. Alikuwa super spy Mzalendo wa kweli

Hayati Lyatonga Mrema angetuambia ukweli juu ya waliohongwa huko Dubai. Alikuwa super spy Mzalendo wa kweli

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Ushahidi wa kimazingira. Circumstantial evidence ni kuwa huu mkataba mbovu kuna watu wamekula rushwa.

Taifa letu linahitaji mashushushu kama hayati Lyatonda Mrema.

Leo hii tungejua kila mtu namna alivyohongwa na kuisaliti Tanganyika.

image_search_1691430444659.jpg
 
Sawa ndugu yake Mrema , Membe, Mahiga,Marando, Mzena, CDF Mwanyange Mungu awalinde mliko
 
Alikuwa upande wa serikali kipindi cha Kikwete, Magufuli na hata cha Samia, mnakosea sana kuwaamini hawa wanasiasa
 
Alipokuwa akiwatajia mlichukua hatua gani stahiki?Mlilia?Mlishangilia?Mliwapa adhabu gani?Mlijifunza kutokukosea tena?Mliweka mikakati gani inayotimilika kudhibiti ujinga,wizi na kuleana?Au mlipiga blah blah na kuacha mambo yajihangaikie yenyewe tu?
 
Sio kweli
Si kweli kivipi?Kuanza kumuunga mkono mgombea wa chama kisichokuhusu na kumuacha wa chama chako siyo upuuzi na usaliti wa wazi barabarani?
NB:Kwa Augustine Mrema yule ulitgemea alete tija ipi kwa Taifa?Kuwa kiongozi wa parole?
 
Back
Top Bottom