johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katika eneo pekee ambalo hayati Magufuli hakuliwekea mkazo wa kutosha ni kwenye teuzi za watendaji wa serikali.
Magufuli alijaza makada wa CCM serikalini na jambo hili halina afya sana kwa serikali nashauri Rais Samia aliangalie kwa macho mawili.
Nia ya hayati Magufuli ilikuwa njema kabisa ila wateuliwa ndio walionyesha tatizo lilipo hebu mwangalie kada wa CCM Sabaya kwa mfano.
Mwanasiasa siku zote anawaza kuiba kuanzia KURA hadi chochote kile.
Nawatakia Sabato njema!