Hayati Magufuli alijaza makada wa CCM kwenye teuzi za Serikali, hawa ndio wapiga dili wenyewe, Rais Samia asiwachekee

Mara nyingi huwa unakuwa mkweli kuliko Chama chako. Tulilikemea Sana hili, hata Samia mwanzoni alisombwa na kasumba mbovu hiyo.
 
Ila unafiki ni kitu mbaya san asee 😂😂 yaan umeshindwa kumlaumu mteua ukawaangushia jumba bovu wateuliwa? Kwel ulikua na mapenz ya dhat kbs kwa hayati!!!
 
Umepiga ikulu chief. From branch manager kwenye private bank to CEO of the Nation sole Telecoms Company!
What about TANESCO CEO Bw Maharage Chande katokea wapi kama sio DSTV?

Acheni mambo yenu ya urojooo hawa wote wa tz Na wanaweza.
 

Na hapo vipi?

 
What about TANESCO CEO Bw Maharage Chande katokea wapi kama sio DSTV?

Acheni mambo yenu ya urojooo hawa wote wa tz Na wanaweza.
Waziri Kindamba hana uwezo wa kuindesha TTCL kwa mafanikio. Japo wote (Maharage, Nsekela wa CRDB na yeye Waziri) ni watu wa mfumo hana uzoefu, ujuzi, mbinu, ubunifu wala maarifa ya kuliongoza lile Shirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…