Hayati Magufuli alikuwa ni ASSET au LIABILITY kwa chama na nchi Kwa ujumla?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba zao au mazungumzo;

Je, Kwa upeo wako kama mwananchi unaamini Mzee Magufuli alikuwa asset Kwa Taifa au liability? Kwa wale waliopo ndani ya chama mnaamini Mzee Magufuli alikuwa Asset au liability Kwa chama? Kwa wale wa upinzania upi msimamo wenu kwenye tathimini ya miaka mitano ya Mzee Magufuli. Was he an asset or a liability?
 
Wanyonge wote watamuona asset, na wana demokrasia wote watamuona liability, ila kama kuna mnyonge mpenda demokrasia huyo lazima kichwa kimuume.
 
..alikuwa liability.

..alikuwa laghai, mbaguzi, na mkatili.

..mimi ni mpenda HAKI na MAENDELEO.
 
Kama unazielewa siasa vizuri na wanasiasa kwa ujumla huwezi shindwa elewa hyo treatment ya magufuli ina sababishwa na nini

Huwezi kuwa Waziri upo chini ya samia hafu unamsifia magufuli utaonekana vipi kwa boss wako

Kwangu me naona ni upepo flani unajitahidi kuzima nguvu na ushawishi aliokuwa nao Jpm Ukitaka kuamini subiri huyu mama atoke kwenye hyo nafasi ndio utajua
Kwa sasa ni unafiki na matumbo Ndiyo yanafanya watu wampraisi huyu mama lkn in my opinion uyu ndio liability
 
Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba zao au mazungumzo; Je, Kwa upeo wako kama mwananchi unaamini Mzee Magu alikuwa asset Kwa Taifa au liability?

Kwa wale waliopo ndani ya chama mnaamini Mzee Magu alikuwa Asset au liability Kwa chama? Kwa wale wa upinzania upi msimamo wenu kwenye tathimini ya miaka mitano ya Mzee Magu. Was he an asset or liability?
Yule alikuwa kifaa, rasilimali ya taifa.
 
Liability Kwa Nchi ila Kwa chama chake wakati ule anagombea na Lowassa alionekana ni asset..

Saizi Tanzania ingekuwa shimoni
 
Wanyonge wote watamuona asset, na wana demokrasia wote watamuona liability, ila kama kuna mnyonge mpenda demokrasia huyo lazima kichwa kimuume.

Wanyonge ni political branding ilitengenezwa enzi zile ili ku cover dark outcomes za muhusika
 
Kama unazielewa siasa vizuri na wanasiasa kwa ujumla huwezi shindwa elewa hyo treatment ya magufuli ina sababishwa na nini

Huwezi kuwa Waziri upo chini ya samia hafu unamsifia magufuli utaonekana vipi kwa boss wako

Kwangu me naona ni upepo flani unajitahidi kuzima nguvu na ushawishi aliokuwa nao Jpm Ukitaka kuamini subiri huyu mama atoke kwenye hyo nafasi ndio utajua
Kwa sasa ni unafiki na matumbo Ndiyo yanafanya watu wampraisi huyu mama lkn in my opinion uyu ndio liability
nimekuelewa vzr mno
 
Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba zao au mazungumzo;

Je, Kwa upeo wako kama mwananchi unaamini Mzee Magufuli alikuwa asset Kwa Taifa au liability? Kwa wale waliopo ndani ya chama mnaamini Mzee Magufuli alikuwa Asset au liability Kwa chama? Kwa wale wa upinzania upi msimamo wenu kwenye tathimini ya miaka mitano ya Mzee Magufuli. Was he an asset or a liability?
Tutajuwa 2025
 
Ameigharimu sana CCM iliparalyse kabisa ikaanza kuitegemea Serikali kila kitu.

Pia alikiumiza Chama kwa kuzidisha propaganda na Vitisho kiasi kwamba wengi wanakipenda kwa uoga na unafiki kulinda Maslahi yao ila hakiko Moyoni kwao,hii ni hatari kwenye sanduku la Kura kwasababu Kura zinatoka Moyoni.

Rais Samia na Chongolo wana kazi sana ya kukifufua Chama,tuwatie Moyo mengi wanayoteseka nayo yamesababishwa na Magufuli alitumia mda mwingi kujijenga Binafsi na kuaminisha watu kuwa wengine hakuna walichofanya yeye ndiyo Alfa na Omega watu wakaweka imani kwa mtu badala ya Chama.

Really liability na amekigharimu mno makundi yote muhimu kama Watumishi wa Umma walionyanyaswa na kutokupandishwa madaraja,Wafanyabiashara,Wakulima hasa wa Korosho,Wavuvi,Wapinzani,WanaCCM wenyewe,Wafadhili wote hawana hamu na Chama.
 
Back
Top Bottom