Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Magufuli alisema msaliti wa nchi hatakiwi kuishi na baada ya masaa machache nikapigwa risasi ~~~~~ Lisu.Liability.
Hakuna maendeleo ya kweli bila uhuru wa watu.
Sipo kwenye chama tawala wala cha upinzani.
Ni mpenda maendeleo tu.
Yule alikuwa kifaa, rasilimali ya taifa.Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba zao au mazungumzo; Je, Kwa upeo wako kama mwananchi unaamini Mzee Magu alikuwa asset Kwa Taifa au liability?
Kwa wale waliopo ndani ya chama mnaamini Mzee Magu alikuwa Asset au liability Kwa chama? Kwa wale wa upinzania upi msimamo wenu kwenye tathimini ya miaka mitano ya Mzee Magu. Was he an asset or liability?
Liability Kwa Nchi ila Kwa chama chake wakati ule anagombea na Lowassa alionekana ni asset..Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba zao au mazungumzo; Je, Kwa upeo wako kama mwananchi unaamini Mzee Magu alikuwa asset Kwa Taifa au liability?
Kwa wale waliopo ndani ya chama mnaamini Mzee Magu alikuwa Asset au liability Kwa chama? Kwa wale wa upinzania upi msimamo wenu kwenye tathimini ya miaka mitano ya Mzee Magu. Was he an asset or liability?
Kweli mama?Liability Kwa Nchi ila Kwa chama chake wakati ule anagombea na Lowassa alionekana ni asset..
Saizi Tanzania ingekuwa shimoni
Wewe unaonaje?Kweli mama?
Wanyonge wote watamuona asset, na wana demokrasia wote watamuona liability, ila kama kuna mnyonge mpenda demokrasia huyo lazima kichwa kimuume.
nimekuelewa vzr mnoKama unazielewa siasa vizuri na wanasiasa kwa ujumla huwezi shindwa elewa hyo treatment ya magufuli ina sababishwa na nini
Huwezi kuwa Waziri upo chini ya samia hafu unamsifia magufuli utaonekana vipi kwa boss wako
Kwangu me naona ni upepo flani unajitahidi kuzima nguvu na ushawishi aliokuwa nao Jpm Ukitaka kuamini subiri huyu mama atoke kwenye hyo nafasi ndio utajua
Kwa sasa ni unafiki na matumbo Ndiyo yanafanya watu wampraisi huyu mama lkn in my opinion uyu ndio liability
Mwagito hata maana ya asset inelekea haujui. Kunywa kilita hapo Mlandege nakuja kulipaAsset
Tutajuwa 2025Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba zao au mazungumzo;
Je, Kwa upeo wako kama mwananchi unaamini Mzee Magufuli alikuwa asset Kwa Taifa au liability? Kwa wale waliopo ndani ya chama mnaamini Mzee Magufuli alikuwa Asset au liability Kwa chama? Kwa wale wa upinzania upi msimamo wenu kwenye tathimini ya miaka mitano ya Mzee Magufuli. Was he an asset or a liability?