HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Lets not live in the past tenseWatu wengi sana waliompinga hayati magufuli walianza mkubali baada ya kuanza kuona mafanikio, hizi zinaweza kuwa ni sababu za kutokubali kwake
1. Alikuwa akili kubwa/ IQ kubwa kuliko Asilimia kubwa ya watu . Kwa hapa nlishangaa sana waalimu kuwa ndio group kubwa linalompinga , Kiuhalisia ukiwa na akili kubwa sana watu wanakuwa hawakuelewi au inachukua muda kuelewa una maanisha nini .
2.Alisimamia kwenye ukweli , mambo mengi yako kwenye misingi isiyo sahihi
3.Alikuwa anaongoza watu wenye uelewa mkubwa zaidi yake , ingawa hili haliwezi kuwa sawa kwake maana akili za watanzania zinajulikana
Uko sahihiUkiwachunguza wengi wao walio mpinga walikuwa watu wasio waadilifu na kunyooka!
Bibi yule uwezo wake ni mdogo mno.Watu wengi sana waliompinga hayati magufuli walianza mkubali baada ya kuanza kuona mafanikio, hizi zinaweza kuwa ni sababu za kutokubali kwake
1. Alikuwa akili kubwa/ IQ kubwa kuliko Asilimia kubwa ya watu . Kwa hapa nlishangaa sana waalimu kuwa ndio group kubwa linalompinga , Kiuhalisia ukiwa na akili kubwa sana watu wanakuwa hawakuelewi au inachukua muda kuelewa una maanisha nini .
2.Alisimamia kwenye ukweli , mambo mengi yako kwenye misingi isiyo sahihi
3.Alikuwa anaongoza watu wenye uelewa mkubwa zaidi yake , ingawa hili haliwezi kuwa sawa kwake maana akili za watanzania zinajulikana
Kila mtu ana mazuri na mabaya yake...Kuna mambo alifanya vizuri na kuna mambo alifanya vibaya.Watu wengi sana waliompinga hayati magufuli walianza mkubali baada ya kuanza kuona mafanikio, hizi zinaweza kuwa ni sababu za kutokubali kwake
1. Alikuwa akili kubwa/ IQ kubwa kuliko Asilimia kubwa ya watu . Kwa hapa nlishangaa sana waalimu kuwa ndio group kubwa linalompinga , Kiuhalisia ukiwa na akili kubwa sana watu wanakuwa hawakuelewi au inachukua muda kuelewa una maanisha nini .
2.Alisimamia kwenye ukweli , mambo mengi yako kwenye misingi isiyo sahihi
3.Alikuwa anaongoza watu wenye uelewa mkubwa zaidi yake , ingawa hili haliwezi kuwa sawa kwake maana akili za watanzania zinajulikana
wewe nawe ni mmoja waoLets not live in the past tense
Na hapo ndiyo lilikuwa kosa la Dkt Samia kuungana na hawa wezi matokeo yake wamemuingiza mkenge mpaka sasa 2025 sidhani kama atapita, maana kila kona watu wanamtemea mate yaani cha ajabu hata wanawake wanamuita “Limama hili” hahaha. Dkt Samia uzuri hachelewa kabisa aende Chato akaombe tu msahama kwenye kabuli la Dkt Magufuli aseme hakujuaUkiwachunguza wengi wao walio mpinga walikuwa watu wasio waadilifu na kunyooka!
😂😂😂😂Na hapo ndiyo lilikuwa kosa la Dkt Samia kuungana na hawa wezi matokeo yake wamemuingiza mkenge mpaka sasa 2025 sidhani kama atapita, maana kila kona watu wanamtemea mate yaani cha ajabu hata wanawake wanamuita “Limama hili” hahaha. Dkt Samia uzuri hachelewa kabisa aende Chato akaombe tu msahama kwenye kabuli la Dkt Magufuli aseme hakujua
Magufuli hafai kuishi na watu wastaarabu alikuwa mwanaharamuWatu wengi sana waliompinga hayati magufuli walianza mkubali baada ya kuanza kuona mafanikio, hizi zinaweza kuwa ni sababu za kutokubali kwake
1. Alikuwa akili kubwa/ IQ kubwa kuliko Asilimia kubwa ya watu . Kwa hapa nlishangaa sana waalimu kuwa ndio group kubwa linalompinga , Kiuhalisia ukiwa na akili kubwa sana watu wanakuwa hawakuelewi au inachukua muda kuelewa una maanisha nini .
2.Alisimamia kwenye ukweli , mambo mengi yako kwenye misingi isiyo sahihi
3.Alikuwa anaongoza watu wenye uelewa mkubwa zaidi yake , ingawa hili haliwezi kuwa sawa kwake maana akili za watanzania zinajulikana
Niliyefanya niniwewe nawe ni mmoja wao
Shetani mkubwa mwenye mkia mnene kabisa huna akili zaidi ya kujaza kinyesi kwenye ubongo wako, ukome kabisa kusema vibaya mzalendo wetuMagufuli hafai kuishi na watu wastaarabu alikuwa mwanaharamu
Hakuna sababu zaidi
Mfano Retired brazaj Erythrocyte Tindo etcUkiwachunguza wengi wao walio mpinga walikuwa watu wasio waadilifu na kunyooka!
Wameanza kujitokezaLets not live in the past tense
Hakuna upinzani kama unavyofikiri!Na hapo ndiyo lilikuwa kosa la Dkt Samia kuungana na hawa wezi matokeo yake wamemuingiza mkenge mpaka sasa 2025 sidhani kama atapita, maana kila kona watu wanamtemea mate yaani cha ajabu hata wanawake wanamuita “Limama hili” hahaha. Dkt Samia uzuri hachelewa kabisa aende Chato akaombe tu msahama kwenye kabuli la Dkt Magufuli aseme hakujua
Wafia chama hao na mbowe anawanyoosha!