H HUMAN ERROR JF-Expert Member Joined Sep 8, 2024 Posts 318 Reaction score 627 Sep 19, 2024 Thread starter #21 mliberali said: Magufuli hafai kuishi na watu wastaarabu alikuwa mwanaharamu Hakuna sababu zaidi Click to expand... Nyie ndio wale kundi la watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri
mliberali said: Magufuli hafai kuishi na watu wastaarabu alikuwa mwanaharamu Hakuna sababu zaidi Click to expand... Nyie ndio wale kundi la watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri
Mudawote JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 10,771 Reaction score 14,129 Sep 19, 2024 #22 kipara kipya said: Hakuna upinzani kama unavyofikiri! Click to expand... Bosi hii ni ndani ya mfumo wetu wa CCM, nina uhakika hatoboi kabisa! Maana inaonekana kesha wakera watu mpaka basi
kipara kipya said: Hakuna upinzani kama unavyofikiri! Click to expand... Bosi hii ni ndani ya mfumo wetu wa CCM, nina uhakika hatoboi kabisa! Maana inaonekana kesha wakera watu mpaka basi
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Sep 19, 2024 #23 Nakubaliana na wewe.
C Chasaga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 279 Reaction score 275 Sep 19, 2024 #24 Ni muda mrefu utapita ili tumpate wa kufanana naye! I 😂
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Sep 19, 2024 #25 Mudawote said: Bosi hii ni ndani ya mfumo wetu wa CCM, nina uhakika hatoboi kabisa! Maana inaonekana kesha wakera watu mpaka basi Click to expand... 19/9/2024 tukutane tena 19/12/2025 raisi akiwa yeye!
Mudawote said: Bosi hii ni ndani ya mfumo wetu wa CCM, nina uhakika hatoboi kabisa! Maana inaonekana kesha wakera watu mpaka basi Click to expand... 19/9/2024 tukutane tena 19/12/2025 raisi akiwa yeye!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 19, 2024 #26 njinjo said: Mfano Retired brazaj Erythrocyte Tindo etc Click to expand... Wewe uliunga mkono watu kupotea, watu kwenye viroba au msimamo wake kuhusu corona? Wangapi walikufa na corona ambao wangepona? Au wewe ni wale waumini wa kifo hupangwa na Mungu?
njinjo said: Mfano Retired brazaj Erythrocyte Tindo etc Click to expand... Wewe uliunga mkono watu kupotea, watu kwenye viroba au msimamo wake kuhusu corona? Wangapi walikufa na corona ambao wangepona? Au wewe ni wale waumini wa kifo hupangwa na Mungu?