The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 May 20, 2023 #1 Naona mmejitahidi Sana kukwepesha kwepesha UKWERI...... Naomba niwaambie watanzania Wengi hawaoni hayo majengo au Ile halaiki kichwani mwao wakisikia uzinduzi wa ikulu Dodoma....... Hii ndo picha inayokuja kichwani mwao siyo hayo majebgo meupe. Meupe...... Jingine Mmefanya vizuri kutomtaja huyo Mwamba otherwise mgeumbuka, lile shangwe na vibe ambalo lingeibuka lingewaharibia SIku kabisa .... .Naona mlijifunza kule rufiji. Ila ndo hivyo Magufuli ni itikadi hakwepeki kaacha alama kila Kona na miradi Yake mingi.ndo Kwaanza Ipo katikati.......
Naona mmejitahidi Sana kukwepesha kwepesha UKWERI...... Naomba niwaambie watanzania Wengi hawaoni hayo majengo au Ile halaiki kichwani mwao wakisikia uzinduzi wa ikulu Dodoma....... Hii ndo picha inayokuja kichwani mwao siyo hayo majebgo meupe. Meupe...... Jingine Mmefanya vizuri kutomtaja huyo Mwamba otherwise mgeumbuka, lile shangwe na vibe ambalo lingeibuka lingewaharibia SIku kabisa .... .Naona mlijifunza kule rufiji. Ila ndo hivyo Magufuli ni itikadi hakwepeki kaacha alama kila Kona na miradi Yake mingi.ndo Kwaanza Ipo katikati.......
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,949 Reaction score 24,046 May 20, 2023 #2 Mbona kama wewe ndiye unaumia? Magufuli did a very good job. Na hata Mh Rais Samia kamtaja. Sioni tatizo.
Mbona kama wewe ndiye unaumia? Magufuli did a very good job. Na hata Mh Rais Samia kamtaja. Sioni tatizo.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 May 20, 2023 #3 Mbona na mama Janet yupo Hakuna mashindano kwenye serikali na kama mmoja anaacha kabla hajamaliza na wengine wanaendeleza, ndio kanuni ilivyo Pia kama ina maslahi na Taifa kwa ujumla Hakuna mali binafsi
Mbona na mama Janet yupo Hakuna mashindano kwenye serikali na kama mmoja anaacha kabla hajamaliza na wengine wanaendeleza, ndio kanuni ilivyo Pia kama ina maslahi na Taifa kwa ujumla Hakuna mali binafsi