Sawa tumeelewa kuhusu bwawa la Nyerere ila Kuna swali hapo juu bado haujajibuHabari, Ndugu MTU MKUU
Pole kwa changamoto, bwawa la Julius Nyerere limesaidia sana kuimarisha hali ya upatikanaji umeme nchini. Ambapo uwezo wetu wa uzalishaji umeme umeongezeka sana,katizo la leo ni kuwa lengo la kuongeza ufanisi zaidi kwa kuwezesha umeme mwingi unaozalishwa kufika katika maeneo mengi ya nchi.
Ndiyo maana laini kubwa ya msongo wa kilovolti 400 imejengwa na kama tulivyotangaza zoezi la kuvuta waya linaendelea
Hivyo tunaomba uvumilivu wenu wakati kazi hiyo ikiwa inaendelea.
Asante. ^PK
Kenge nyie kwanini mnatuuzia umeme bei juuHabari, Ndugu MTU MKUU
Pole kwa changamoto, bwawa la Julius Nyerere limesaidia sana kuimarisha hali ya upatikanaji umeme nchini. Ambapo uwezo wetu wa uzalishaji umeme umeongezeka sana,katizo la leo ni kuwa lengo la kuongeza ufanisi zaidi kwa kuwezesha umeme mwingi unaozalishwa kufika katika maeneo mengi ya nchi.
Ndiyo maana laini kubwa ya msongo wa kilovolti 400 imejengwa na kama tulivyotangaza zoezi la kuvuta waya linaendelea
Hivyo tunaomba uvumilivu wenu wakati kazi hiyo ikiwa inaendelea.
Asante. ^PK
Habari, Ndugu mtejaSawa tumeelewa kuhusu bwawa la Nyerere ila Kuna swali hapo juu bado haujajibu
Mliwezaje kutokuwa na mgao wa umeme Kwa muda wa miaka 5 kipindi Cha Magu?
Maana sikuhizi maeneo ya kariakoo Kila siku mchana magenereta yanaunguruma