Pre GE2025 Hayati Magufuli angekuwa hai mwaka huu ndio angekuwa anamaliza awamu ya pili na Kustaafu

Pre GE2025 Hayati Magufuli angekuwa hai mwaka huu ndio angekuwa anamaliza awamu ya pili na Kustaafu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mikolaj

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
85
Reaction score
83
Habari za j2

1739682972136.jpeg

Nimekaa nikamkumbuka chuma John Pombe Magufulu kuwa angekua hai inamaanisha huu mwaka ndio angekua anamaliza awamu yake ya mwisho na kuwa Rais Mstaafu!

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hakika tungekua na Tanzania iliyojaa barabara, flyovers, madaraja, nk.

Kuna matatizo ya kijingajinga tusingekua nayo hivi sasa kama wananchi.

R.I.P CHUMAJPM
 
Ni kweli, kwenye uthubutu aliweza, kama umeme n. k
Tatizo alikua na double standard pia aliamini yeye anajua kila kitu, hakutaka kukosolewa wala mawazo tofauti.
Sifurahii kifo chake ila ninachosema uraisi wake ulikua na shida.
 
Angestaafu vipi na wakati mlishaanzisha kampeni za kumtaka atawale milele?
 
Habari za j2

Nimekaa nikamkumbuka #chumaJPM#,kuwa angekua hai inamaanisha huu mwaka ndo angekua anamaliza awamu yake ya mwisho na kuwa rais mstaafu!!

Hakika tungekua na Tanzania iliyojaa barabara,flyovers,madaraja nk!
Kuna matatizo ya kijingajinga tusingekua nayo hivi sasa kama wananchi!!

R.I.P #CHUMAJPM#
Angestaafu na huyu mama, sasa kawa king'ang'anizi.
 
Hatma yangu ingekuwa mikononi mwa pilato, Kuna zengwe lilikuwa limesukwa sijui ningesalimika vipi
 
Back
Top Bottom