Zile miaka mitano ulilala njaa?Tungekula flyover?
Poyoyo lingine hili, nchi zenye fly overs ziko nyingi sana ulishawahi kusikia wamekula hizo fly overs?Tungekula flyover?
Ntumie hafu tatu ninywe chai mkuu, mm sio shabiki wa siasa nimeandka tuu ili nije kupitia maoni ya watu baadaeZile miaka mitano ulilala njaa?
Angestaafu na huyu mama, sasa kawa king'ang'anizi.Habari za j2
Nimekaa nikamkumbuka #chumaJPM#,kuwa angekua hai inamaanisha huu mwaka ndo angekua anamaliza awamu yake ya mwisho na kuwa rais mstaafu!!
Hakika tungekua na Tanzania iliyojaa barabara,flyovers,madaraja nk!
Kuna matatizo ya kijingajinga tusingekua nayo hivi sasa kama wananchi!!
R.I.P #CHUMAJPM#
Punguza mihemko!Poyoyo lingine hili, nchi zenye fly overs ziko nyingi sana ulishawahi kusikia wamekula hizo fly overs?
Bora alisepa tuTungekula flyover?
Mnakera kuweweseka na marehemu.Punguza mihemko!
Mm sioni hata la maana alifanya labda huko dasilamu wanako penda flyoverBora alisepa tu
Afu we mzee nakuheshimu..... Shikamoo Faza kwema uko?Mnakera kuweweseka na marehemu.