Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
true!Hivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii.
Chadema wangechapisha hadi kanga.
Leo hii baada ya rais Samia kushindwa kudhibiti ufisadi ndio mlete hoja ya tril 1.5 ambayo PAC walitoa majibu bungeni kuwa ilikuwa ni ishu ya mahesabu tu.
Chadema na CCM mafisadi mlishafeli ibieni watanzania lakini hamuwezi kupotosha umma. Ipo siku huo wizi wenu utakoma.
Hata kifo kimeshindwa kututenga na MagufuliHivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii.
Chadema wangechapisha hadi kanga.
Leo hii baada ya rais Samia kushindwa kudhibiti ufisadi ndio mlete hoja ya tril 1.5 ambayo PAC walitoa majibu bungeni kuwa ilikuwa ni ishu ya mahesabu tu.
Chadema na CCM mafisadi mlishafeli ibieni watanzania lakini hamuwezi kupotosha umma. Ipo siku huo wizi wenu utakoma.
Dada mbona unashindwa kukubali ukweli?We jamaa aliyekuroga ana roho mbaya sana ! kachanganya ubongo na kokoto .
Bwashee kwani aliyekuroga wewe unadhani ana afadhali? Ni kwa kuwa nyani haoni kundule tu ndiyo maana unajiona una nafuu!We jamaa aliyekuroga ana roho mbaya sana ! kachanganya ubongo na kokoto .