Hayati Magufuli: Ukiwagusa wauza dawa za kulevya usitegemee watanipenda

Hayati Magufuli: Ukiwagusa wauza dawa za kulevya usitegemee watanipenda

Shakari

Senior Member
Joined
Jul 6, 2022
Posts
188
Reaction score
570
Moja ya nukuu ya Hayati Magufuli kuhusu madawa ya kulevya

'Ukiwagusa hawa waliokuwa wanapata fedha kwa madawa ya kulevya usitegemee kama watakupenda na mimi sitaki wanipende lakini vijana tutakaokuwa tumewaokoa tangu tutangaze hii vita ni wengi watajibu siku moja kwa ajili ya faida ya Tanzania, Tanzania ilikuwa inaenda pabaya'
 
Moja ya nukuu ya Hayati Magufuli kuhusu madawa ya kulevya

'Ukiwagusa hawa waliokuwa wanapata fedha kwa madawa ya kulevya usitegemee kama watakupenda na mimi sitaki wanipende lakini vijana tutakaokuwa tumewaokoa tangu tutangaze hii vita ni wengi watajibu siku moja kwa ajili ya faida ya tanzania tanzania ilikuwa inanda pabaya'
Hapa watesi wake hawaji,tegemea uzi kudoda
 
Alikuwa amejikusanyia Ngamia na Farasi kwenye shamba lake kwa pesa ya zulma juzi nimepita pale nipakuta patupu hahaha...
Halafu hizi nyimbo mtaimba sana tu kujifariji,niwahakikishie ni furaha za mitandaoni tu , field mwamba ndio habari yenyewe.

Nilitegemea shutuma zote, ikiwemo pesa alizoiba zirudi na ziweze saidia maendeleo ya nchi, matokeo yake ni kutembeza bakuri kwa masharriti ya kufirana.

Huyo aliondoka kasanua kila ujinga ulioendelea hapa nchini na anaishi kwenye mioyo ya watanzania, kuamini hilo nenda field ukamponde tuone kama utashaini, endeleeni kujificha hapa kwa multiple users
 
Moja ya nukuu ya Hayati Magufuli kuhusu madawa ya kulevya

'Ukiwagusa hawa waliokuwa wanapata fedha kwa madawa ya kulevya usitegemee kama watakupenda na mimi sitaki wanipende lakini vijana tutakaokuwa tumewaokoa tangu tutangaze hii vita ni wengi watajibu siku moja kwa ajili ya faida ya tanzania tanzania ilikuwa inanda pabaya'
Mpuuzi tu yule
 
Aliwafikisha wangapi mahakamani na ni wangapi walipatikana na hatia?
 
Magufuli alifeli pakubwa sana, alikuwa anadhani kila mwenye uchumi mzuri ni mwizi, alikuwa na roho ya kimaskini sana.. matokeo yake na yeye akatengeneza vijana wa kupora watu hela Kisha wanampelekea, akamtengeneza DPP alete hela kwa mgongo wa makubaliano na wahujumu uchumi, kumbe ana wapora tu kisha hela haziingii serikalini bali zinapelekwa China na sheli sheli, alijaribu kupeleka kwa kagame lkn kagame akamdhulumu Tr 1.5 .. ikabidi abadilishe mwelekeo [emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom