Hayati Mkapa, Rais wa kwanza na pekee kuitwa Mahakamani

Hayati Mkapa, Rais wa kwanza na pekee kuitwa Mahakamani

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Aliitwa/alienda mwenyewe nafikiri ilikuwa ni kesi ya Balozi aliyeitwa Mahalu aliyeshutumiwa kwa uuzaji wa nyumba ya Ubolozi huko Italia, baada ya Mkapa hakuna na wala hakujawahi kuwa na Rais wa Tanzania aliyeitwa Mahakamani.

Mzee Mkapa Mahakamani
1676298889081.jpeg
 
Wakati huo wangalau mahakama ilikuwa inajua wajibu wake. Sasa hivi mahakama imekuwa sehemu ya kukomoa wasio na madaraka kwa maagizo ya walio madarakani.
 
Ni kweli

Hakuitwa ila ni Yeye mwenyewe aliomba kuwa shahid wa Prof Mahalu

Wote ni Wakatoliki hawa!
Hakuomba,alitajwa na Mzee mahalu kuwa ndiye aliyemruhusu kufanya manunuzi ya nyumba ya ubalozi Italy.
Mahakama ilimwita kutoa ushahidi kumbuka aliyemshtaki alikuwa waziri wa mamabo ya nje.

Ikiwa wote wakatoliki maana yake nini?acha uboya.
 
Rais MKAPA ndiye RAIS pekee ambaye HAKUKOPA ktk miaka yake 10.

Alihusika kupambana tukasamehewa madeni ya 001 na 002, na yaliyobaki alikusanya Kodi na kuyalipa.

Nadhani Marais waliofuata utajaza mwenyewe.

Awamu ya SITA, miaka miwili TRILIONI 20.

Hakusanyi Kodi, Eti awahurumia watoto Ili wajukuu na vitukuu waje kulipa.
 
Kuna kesi nyingine ya Mch.Mtikila aliyosema Baba wa Taifa alikufa kwa kale kagonjwa. Ilibidi Upande wa mashtaka wamfutie Mtikila kesi ili kuepuka kumuita Rais Mahakamani kwani katika maelezo yake Mtikila alisema siyo yeye aliyesema maradhi ya mwalimu bali alimnukuu Rais Mkapa
 
Rais MKAPA ndiye RAIS pekee ambaye HAKUKOPA ktk miaka yake 10.

Alihusika kupambana tukasamehewa madeni ya 001 na 002, na yaliyobaki alikusanya Kodi na kuyalipa.

Nadhani Marais waliofuata utajaza mwenyewe.

Awamu ya SITA, miaka miwili TRILIONI 20.

Hakusanyi Kodi, Eti awahurumia watoto Ili wajukuu na vitukuu waje kulipa.

Halafu wakaja kusema eti Lowasa ndiye aliyejenga Shule za Kata nchini kote wakati ni brain child ya Mkapa!
 
Mtu yule alijenga mifumo mingi ktk kuendesha Nchi, VAT ni Mkapa alianzisha, na mifumo kibao.

Apumzike Kwa Amani.

Kabisa, ni kama Tanzania ilizaliwa upya, kwanza alianzisha au tuseme alifufua Mtwara corridor ambapo lengo lilikuwa ni kuunganisha Ziwa Nyasa na Bandari ya Mtwara kwa reli muda haukutosha tu, lkn mipango ilikuwa mingi sana na mizuri!
 
Mkapa ikumbukwe pia alisababisha LISSU akimbie nchi ktk utawala wake.

Mkwere alikabidhiwa Nchi ikiwa pazuri,

HAZINA ilikuwa na pesa za kutosha.

Bt pamoja na kukopa kote,bt alimkabidhi Magu KIBUBU hakuna Senti Tano!!!!😠😠
 
Aliitwa/alienda mwenyewe nafikiri ilikuwa ni kesi ya Balozi aliyeitwa Mahalu aliyeshutumiwa kwa uuzaji wa nyumba ya Ubolozi huko Italia, baada ya Mkapa hakuna na wala hakujawahi kuwa na raisi wa Tanzania aliyedharililishwa Mahakamani, …

Mzee Mkapa Mahakamani
View attachment 2516220
Awamu ya nne ilikuwa inakaanga awamu ya tatu,mzee akaenda kuokoa jahazi!!

Hawajaanza kutafutana leo Hao jamaa wakubwa!!
 
Back
Top Bottom