Sasa kama Wakatoliki??!! Acha UKABILA wewe NundaNi kweli
Hakuitwa ila ni Yeye mwenyewe aliomba kuwa shahid wa Prof Mahalu
Wote ni Wakatoliki hawa!
Hakuomba,alitajwa na Mzee mahalu kuwa ndiye aliyemruhusu kufanya manunuzi ya nyumba ya ubalozi Italy.Ni kweli
Hakuitwa ila ni Yeye mwenyewe aliomba kuwa shahid wa Prof Mahalu
Wote ni Wakatoliki hawa!
Rais MKAPA ndiye RAIS pekee ambaye HAKUKOPA ktk miaka yake 10.
Alihusika kupambana tukasamehewa madeni ya 001 na 002, na yaliyobaki alikusanya Kodi na kuyalipa.
Nadhani Marais waliofuata utajaza mwenyewe.
Awamu ya SITA, miaka miwili TRILIONI 20.
Hakusanyi Kodi, Eti awahurumia watoto Ili wajukuu na vitukuu waje kulipa.
Mtu yule alijenga mifumo mingi ktk kuendesha Nchi, VAT ni Mkapa alianzisha, na mifumo kibao.Halafu wakaja kusema eti Lowasa ndiye aliyejenga Shule za Kata nchini kote wakati ni brain child ya Mkapa!
Mtu yule alijenga mifumo mingi ktk kuendesha Nchi, VAT ni Mkapa alianzisha, na mifumo kibao.
Apumzike Kwa Amani.
Mkapa ikumbukwe pia alisababisha LISSU akimbie nchi ktk utawala wake.Kabisa, ni kama Tanzania ilizaliwa upya, kwanza alianzisha au tuseme alifufua Mtwara corridor ambapo lengo lilikuwa ni kuunganisha Ziwa Nyasa na Bandari ya Mtwara kwa reli muda haukutosha tu, lkn mipango ilikuwa mingi sana na mizuri!
Sure.. Wakati huo walaghu mahakamani ilikuwa na uti wa mgongo si sasa.Wakati huo wangalau mahakama ilikuwa inajua wajibu wake. Sasa hivi mahakama imekuwa sehemu ya kukomoa wasio na madaraka kwa maagizo ya walio madarakani.
Awamu ya nne ilikuwa inakaanga awamu ya tatu,mzee akaenda kuokoa jahazi!!Aliitwa/alienda mwenyewe nafikiri ilikuwa ni kesi ya Balozi aliyeitwa Mahalu aliyeshutumiwa kwa uuzaji wa nyumba ya Ubolozi huko Italia, baada ya Mkapa hakuna na wala hakujawahi kuwa na raisi wa Tanzania aliyedharililishwa Mahakamani, …
Mzee Mkapa Mahakamani
View attachment 2516220