johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inasemekana, narudia tena "Inasemekena" mana sina uhakika, kwamba mzee aliandika wosia kwamba akifa akazikwe Mkuranga pembeni mwa kaburi la baba yake. Na ni kweli hata historia yake inaonesha alizaliwa Mkuranga. Sasa kama ni kweli mzee aliandika wosia huo basi ni vyema wosia ukafuatwa, mana kutokufuata wosia wake ni kutomtendea haki marehemu. Hizo hoja za kisiasa kwamba akizikwa Mkuranga kijana wake atakuwa na wakati mgumu kisiasa pale Zenji kwamba ataonekana sio Mzanzibari hayana mashiko. Anaifanyia mambo makubwa Zanibar na wanzazibari wanampenda. Kumbuka Husein alishawahi kuwa mbunge wa Mkuranga kwa vipindi viwili ama kimoja, kama sijakosea, kabla ya kuamua kwenda kugombea ubunge Zanzibar na hatimaye urais. WOSIA WA MZEE UFUATWE.
Sio papa tu, mpaka Michael Jackson alitimba during his regime.View attachment 2921084
Papa John Paul II Mwaka 1990 alitembelea Tanzania na kukaribishwa na Rais Ali Hassan Mwinyi
Kumualika Papa aketiye Kitini pake Mtume Petro ni jambo moja lakini Mwaliko wako kukubaliwa ni jambo jingine kabisa
Mzee Mwinyi alifanikiwa katika hilo na Papa Yohanne akafanya Ibada katika maeneo ya kimkakati kuwawezesha Watanzania wote kushiriki
Mungu wa Mbinguni mrehemu Mzee Mwinyi
Mungu wa Mbinguni mbariki Dkt. Slaa
Jumaa Mubarak [emoji3]
Pia soma > Tujikumbushe ujio wa Papa John Paul II nchini Tanzania mwaka 1990
umbea tu yanakuhusu niniInasemekana, narudia tena "Inasemekena" mana sina uhakika, kwamba mzee aliandika wosia kwamba akifa akazikwe Mkuranga pembeni mwa kaburi la baba yake. Na ni kweli hata historia yake inaonesha alizaliwa Mkuranga. Sasa kama ni kweli mzee aliandika wosia huo basi ni vyema wosia ukafuatwa, mana kutokufuata wosia wake ni kutomtendea haki marehemu. Hizo hoja za kisiasa kwamba akizikwa Mkuranga kijana wake atakuwa na wakati mgumu kisiasa pale Zenji kwamba ataonekana sio Mzanzibari hayana mashiko. Anaifanyia mambo makubwa Zanibar na wanzazibari wanampenda. Kumbuka Husein alishawahi kuwa mbunge wa Mkuranga kwa vipindi viwili ama kimoja, kama sijakosea, kabla ya kuamua kwenda kugombea ubunge Zanzibar na hatimaye urais. WOSIA WA MZEE UFUATWE.
Hao Kigogo media walete ushahidi wa wosiaInasemekana, narudia tena "Inasemekena" mana sina uhakika, kwamba mzee aliandika wosia kwamba akifa akazikwe Mkuranga pembeni mwa kaburi la baba yake. Na ni kweli hata historia yake inaonesha alizaliwa Mkuranga. Sasa kama ni kweli mzee aliandika wosia huo basi ni vyema wosia ukafuatwa, mana kutokufuata wosia wake ni kutomtendea haki marehemu. Hizo hoja za kisiasa kwamba akizikwa Mkuranga kijana wake atakuwa na wakati mgumu kisiasa pale Zenji kwamba ataonekana sio Mzanzibari hayana mashiko. Anaifanyia mambo makubwa Zanibar na wanzazibari wanampenda. Kumbuka Husein alishawahi kuwa mbunge wa Mkuranga kwa vipindi viwili ama kimoja, kama sijakosea, kabla ya kuamua kwenda kugombea ubunge Zanzibar na hatimaye urais. WOSIA WA MZEE UFUATWE.
Kanda BongomanSio papa tu, mpaka Michael Jackson alitimba during his regime.
Kazikwe mkuranga wew inatoshaInasemekana,,,,Narudia tena "Inasemekena"mana sina uhakika,,kwamba mzee aliandika wosia kwamba akifa akazikwe,Mkuranga pembeni mwa kaburi la baba yake.Na ni kweli hata historia yake inaonesha alizaliwa Mkuranga.Sasa kama ni kweli mzee aliandika wosia huo basi ni vyema wosia ukafuatwa,mana kutokufuata wosia wake nikutomtendea haki marehemu.Hizo hoja za kisiasa kwamba akizikwa mkuranga kijana wake atakuwa na wakati mgumu kisiasa pale Zenji kwamba ataonekana sio Mzanzibari hayana mashiko,Anaifanyia mambo makubwa Zanibar na wanzazibari wanampenda,,,Kumbuka Husein alishawahi kuwa mbunge wa mkuranga kwa vipindi viwili ama kimoja kama sijakosea kabla ya kuamua kwenda kugombea ubunge Zanzibar na hatiae urais.
WOSIA WA MZEE UFUATWE
Maneno matamu sana haya
Tena ziara ya siku tano nchini, haikuwa jambo dogo. Kuna baadhi ya nchi alipita kwa siku moja au mbili; hapa Tanzania alitembelea majimbo makuu yote matano (wakati huo) ya Kanisa katoliki.View attachment 2921084
Papa John Paul II Mwaka 1990 alitembelea Tanzania na kukaribishwa na Rais Ali Hassan Mwinyi
Kumualika Papa aketiye Kitini pake Mtume Petro ni jambo moja lakini Mwaliko wako kukubaliwa ni jambo jingine kabisa
Mzee Mwinyi alifanikiwa katika hilo na Papa John Paul II akafanya Ibada katika maeneo ya kimkakati kuwawezesha Watanzania wote kushiriki
Mungu wa Mbinguni mrehemu Mzee Mwinyi
Mungu wa Mbinguni mbariki Dkt. Slaa
Jumaa Mubarak 😀
Pia soma > Tujikumbushe ujio wa Papa John Paul II nchini Tanzania mwaka 1990
AminaTena ziara ya siku tano nchini, haikuwa jambo dogo. Kuna baadhi ya nchi alipita kwa siku moja au mbili; hapa Tanzania alitembelea majimbo makuu yote matano (wakati huo) ya Kanisa katoliki.