Hayati Mzee Mandela naye pia alimkubali sana Michael Jackson

Hayati Mzee Mandela naye pia alimkubali sana Michael Jackson

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Kumbukizi ya kuvutia kabisa kwa Wahenga

Kijana Michael alikuwa na nyota ya kupendwa Sana

FB_IMG_16013150442534359.jpg
 
Huyu ni yule mandela feki au original maana nilishawahi kusikia yakwamba aliingia magereza original akatoka feki
 
Nafikiri kuna hatua za maisha ya mwanadamu, zikifikiwa basi haijalishi kama unapendwa au la. Utakachotaka au kutamani, kitatokea kutokana na hadhi yako.

Siamini kama MJ alipendwa sana na Mandela au MJ alimpenda Mandela, ila hadhi zao zilipelekea MJ ahakikishe anakutana na Mandela kutokana na hadhi yake.

Na kwa Mandela ilifikia yeyote anayetaka kumuona anamkubalia au anakubaluwa na wasaidizi wake, kutokana na hadhi ya huyo mhusika. Obama na familia yake kwa mfano, walimtembelea wakati akiwa hata hajitambui kutokana na kuchoka kwa uzee, ila ndio hivyo, ni familia maarufu basi hawakataliwi.
 
Aiseee [emoji15][emoji15][emoji15][emoji119][emoji119]
Inasadikika kwamba alipokuwa jela makaburu walikuwa wanampa mateso makali na wakamuhasi (kumtia ukhanithi) ifahamike kuwa mandela aliwahi shtakiwa kwa makosa ya kujihusisha na igaidi ...imagine mateso anayopewa gaidi huwa yanakuwaje!? So hiyo theory huwenda ikawa na uhalisia
 
Okay may be, lakini swala la Mandela kuliwa tope nakataa, kwasababu jela alivyowekwa walijaa watu wa ANC halafu yeye ndio alikuwa kinara wao. Kuna mambo mengine utayakuta humu JF tu, halafu yaache humuhumu.
 
Aliliwa sana tope hapa jirani yangu ktk gereza la polsmal,hili gereza utaingia mzima ila kutoka mzima ni kazi
Tamaa ndo zinasababisha wanaliwa tope
Mwanaume usiishi kwa tamaa
 
Okay may be, lakini swala la Mandela kuliwa tope nakataa, kwasababu jela alivyowekwa walijaa watu wa ANC halafu yeye ndio alikuwa kinara wao. Kuna mambo mengine utayakuta humu JF tu, halafu yaache humuhumu.
iiihhh Kujaa kwa watu wa ANC sio solutions jela mkikamatwa mnaweza kufungwa katika chamber tofauti ...binafasi siamini direct kuhusu hilo la kufanyiwa huo unyama but naamini aliishi huko kwa mateso makali sana so baadhi ya conspiracy zitakuwa na ukweli tu
 
Inasadikika kwamba alipokuwa jela makaburu walikuwa wanampa mateso makali na wakamuhasi (kumtia ukhanithi) ifahamike kuwa mandela aliwahi shtakiwa kwa makosa ya kujihusisha na igaidi ...imagine mateso anayopewa gaidi huwa yanakuwaje!? So hiyo theory huwenda ikawa na uhalisia
Nimeskia mengi sana lakini jiulize
Kwa nini alipotoka alitalikiana na Winnie?
Ukiachana na Winnie kunyaduliwa na vijana hasa mpofu ..
Kwanini basi waachane baadae tu ya Mandela kutoka jela?

Naskia huko sauzi wanamheshimu Winnie kuliko hata Mandela mwenyewe .
Pia huyo alipoulizwa kwanini amemtaliki Winnie alisema moja ya sababu ni winnie kufanya mauaji ya kijana mdogo..
Na huyo kijana alimtafuna pia winnie
 
iiihhh Kujaa kwa watu wa ANC sio solutions jela mkikamatwa mnaweza kufungwa katika chamber tofauti ...binafasi siamini direct kuhusu hilo la kufanyiwa huo unyama but naamini aliishi huko kwa mateso makali sana so baadhi ya conspiracy zitakuwa na ukweli tu
Wafungwa wa kisiasa huwa wanarundikwa sehemu moja huenda alirundikwa na wenzie wa ANC
 
Wafungwa wa kisiasa huwa wanarundikwa sehemu moja huenda alirundikwa na wenzie wa ANC
Thubutuuuu sio kwa makabulu halafu wakati ule uminywaji wahaki za kibinaadu ulikuwa ni mkubwa mnooo wajua hapa tunaongelea mambo yaliyokuwa yanatokea miaka ya 60 to 80s .. Makaburu yalikuwa a roho mbaya kwelikweli wesingeweza kuwa wema kiasi hicho kwa watu weusi
 
Back
Top Bottom