KAPERO
Member
- Jul 18, 2010
- 46
- 8
Hakika haiwezekani ntu mwenye uzima afanye miujiza ya aina hii. kumtambia mke kwa kimada. na kama akiwepo mke anafanyiwa hivyo akakubali madudu hayo lazima akachunguzwe akili kwanza. na kimada wa hivyo pia naomba akachunguzwe.
hakika ndoa inatisha kuliko mahakama ya raiya wenye hasira kali tena wenye sheria mikononi mwao.. nasema hivyo kwa vile nimewahi kushuhudia sakata za fumanizi za wapezi,,wangekua na ndoa naamini lazima wange uwana. sasa iweje wenye kuvumiliana kwa hali hiyo tuwaone kuwa ni wazimaa!!!???